Search results

  1. Hamsel

    CV ya kocha mpya wa Simba Pablo

    Ana UEFA Pro licence . Muda ndio hakimu mzuri.
  2. Hamsel

    Ujio wa kocha mpya Simba,Atafanikiwa kwa wachezaji gani?

    Kikosi cha Simba ni Bora zaidi ya vikosi vyote vya timu za NPL. Muda ndio utajibu.
  3. Hamsel

    Esther Matiko: Unapoingia Segerea unavuliwa nguo zote, unaambiwa "unakaguliwa na hata kama ni Mama utaruka kichurachura"

    Ubaya wa hilo jambo au uzuri wake (Kulingana na uwezo wako wa akili) ni kwamba ipo siku hata wewe yatakakukuta.
  4. Hamsel

    Hivi kwa sasa kuna mtayarishaji wa midundo mkali kama S2kizzy Tanzania?

    Nahreel Ni mkali sana ukisikiliza instrumental "nana" ya Diamond ndio utaelewa vitu alivyoweka mule.
  5. Hamsel

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna ngoma ya kiganda nakumbuka chorus tu "Yeni gwembanesiga oba ani anakumanze mbuza oya atatambule kati mubanji nesige ani" nimeitafuta sana bila mafanikio.
  6. Hamsel

    Risasi zasikika baada ya mwanamke mwengine mweusi kuuawa na polisi akiwa nyumbani kwake

    Hii habari haijakamilika kabisa. Polisi walienda hapo kwake kufanya nini?
  7. Hamsel

    Marubani wa ndege ya Pakistan iliyoanguka walikuwa na kiwewe cha corona

    Na vipi ile ripoti ya mara ya kwanza inayosema kwamba kulikuwa na hitilafu kwenye mfumo wa injini.
  8. Hamsel

    Wapenzi wa SAD song or EMOTIONAL songs tukutane hapa

    Knocking on heaven's door- Bob Dylan
  9. Hamsel

    Wapenzi wa SAD song or EMOTIONAL songs tukutane hapa

    Just a moment- Nas ft Quan I'll be missing you- Pdiddy ft Faith &112
  10. Hamsel

    Enika wa changanya changanya yuko wapi?Haya matusi ya akina Nandy yanaua kizazi

    Roy alikuwa mtaalamu wa vinanda na sound engineer pale, KGT ni producer mzuri sana ila alikuwa chini ya usimamizi wa Roy.
  11. Hamsel

    Trump ateua mtu mweusi kuongoza US Air Force, Senate yathibitisha uteuzi huo

    Sababu ni moja tu UNAFIKI, Wanahate kwasababu yeye ni mzalendo kwa taifa lake while sisi tunashindwa kuwa wazalendo kuanzia ngazi ya chini hadi tunapopata nafasi za uongozi.
  12. Hamsel

    Trump ateua mtu mweusi kuongoza US Air Force, Senate yathibitisha uteuzi huo

    Natamani sana kupata chanzo cha habari ambacho yeyr mwenyewe kwa mdomo wake alisema kuwa atawafukuza wamarekani weusi.
  13. Hamsel

    Trump ateua mtu mweusi kuongoza US Air Force, Senate yathibitisha uteuzi huo

    Vyombo vya habari vingi huko America vimegawanyika kama unafuatilia brief za CNN,CBS,ABC na BET, Kamwe hutomuona Trump ni mtu mzuri kwasababu hizo media zinajua kutwist na kumfanya Trump aonekane mtu mbaya. Endapo utachukua muda na kusikilizia hotuba za Trump au Press Secretary wa Trump, Kuna...
  14. Hamsel

    Trump ateua mtu mweusi kuongoza US Air Force, Senate yathibitisha uteuzi huo

    Trump ni mzalendo kwa nchi yake, Anapambania America izidi kuwa nzuri, Obama alikuwa ni mtu wa hotuba nzuri lakini matendo yalikuwa pungufu.
  15. Hamsel

    RC Makonda rudisha Coaster barabara za mwendo kasi

    Mradi wa mwendokasi haupo Chini ya serikali ya mkoa bali upo chini ya wizara.
  16. Hamsel

    Huyu ndiye bwana Heri bin Juma aliyepigana vita na Wajerumani maeneo ya Saadani

    Wape sifa zao hata kama unadhani walikuwa "midebwedo" bado waliweza kujitoa kupambania watu wao.
  17. Hamsel

    Kuna wanawake wanapenda vibaya jamani

    Inasikitisha sana jamaa kamuolea mdau.
  18. Hamsel

    Texas Marekani wazungu wawapigia magoti weusi na kuwaomba radhi ya ubaguzi waliowafanyia miaka mingi

    Huu Ubaguzi hauwezi kuwaacha salama hata mara moja na bado wanaendeleza maigizo.
  19. Hamsel

    Muonekano wa Uwanja wa Mogadishu

    Mabadiliko makubwa sana.
  20. Hamsel

    Vibaraka wa mabeberu ACT Wazalendo na CHADEMA mmeumbuka

    Kwenye kamusi inaonesha pia wewe ni beberu.
Back
Top Bottom