Search results

  1. blea

    Happy Birthday to me

    Leo ni kumbukizi ya siku niliyozaliwa miaka kadhaa iliyopita siku kama ya leo nilizaliwa ... Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia kuishi miaka yote hiyo .. Nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea na kunitunza hadi pale nilipoweza kujitambua na kuanza kujitegemea .. Namshukuru mke wangu kwa...
  2. blea

    Leo Mei 9 kazaliwa Maxence Melo, tumtakie maisha marefu

    Tumezaliwa tarehe moja Happy Birthday Kiongozi
  3. blea

    Faida kibao za kuoa mke asie na kazi/ hela a.k.a mama wa nyumbani

    Ni kweli kuna faida lakini kwa Dunia ya Leo ni changamoto sana kwa huyo mama wa nyumbani hasa pale mambo yanapokuendea kombo wewe Mzee Baba iwe ni kupata ajali na kuwa mlemavu wa kudumu utakaehitaji kihudumiwa au pia kufutwa kazi kama ni Mfanyakazi au kwa vyovyote vile utakapopatwa na tatizo...
  4. blea

    Kutetemeka kwa usukani Gari ikifika 75 -85km/h Noah

    Kwa Noah yenye engine 3s ukiwa unatumia full ac inatakiwa ile si chini ya km 8 kwa lita na ikiwa katika hali nzuri hadi km 10 kwa Lita moja
  5. blea

    Kutetemeka kwa usukani Gari ikifika 75 -85km/h Noah

    Cheki engine mounting na pia spark plugs pia ignition coil kama inatoa moto sawa sawa ... Engine mounting zikiwa zimekatika zinasababisha mtikisiko wa engine kwenda kwenye body Spark plugs zikiwa hazichomi vizuri zinasababisha engine kutikisika hivyo kufanya gari kutikisika pia Ignition...
  6. blea

    King'amuzi pamoja na dishi used kinatafutwa

    Njoo pm mm ninacho Sent using Jamii Forums mobile app
  7. blea

    Mabati yote ni sawa; viwanda vyetu Tanzania Tunachofanya ni kukunja migongo tu!

    Hakuna kitu kama hicho .... Bati zinatofautiana mnooo labda kama umetumwa kuja kufanya propaganda zako huku .. Huwezi kulinganisha Bati LA ALAF na ujinga huo huko mtaani Sent using Jamii Forums mobile app
  8. blea

    Mabati yote ni sawa; viwanda vyetu Tanzania Tunachofanya ni kukunja migongo tu!

    Hakuna kitu kama hicho .... Bati zinatofautiana mnooo labda kama umetumwa kuja kufanya propaganda zako huku .. Huwezi kulinganisha Bati LA ALAF na ujinga huo huko mtaani Sent using Jamii Forums mobile app
  9. blea

    Moshi hongereni kwa usafi; abiria aaibika

    Karibu tena mkuu hapo ndio nyumbani Uru timbirini pembeni yake shule ya sekondari ya uru na karibu na Kanisa katoliki la Moyo Mtakatifu wa Yesu Uru Sent using Jamii Forums mobile app
  10. blea

    Tanzia: Johanes Kanani apata ajali na kufariki

    Pole sana ndg jamaa na marafiki Sent using Jamii Forums mobile app
  11. blea

    Kampuni ya Reli Tanzania(TRL) yavikana vichwa vya Treni, yataka virudishwe vilipotoka

    [emoji2][emoji3] *Nchi ya neema ni ya neema tu Tuna Madini..Bahari ...maziwa...Milima mikubwa..nasasa Mungu katushushia vichwa vya tren ghafla tu vimeingia bandarini na kwa mshangao kila mtu anajiuliza vya nani kwani baada ya kukosekana muagizaji.. huyo niroho mtakatifu jamani ametenda miujuza*
  12. blea

    Msaada kuhusu waliojiunga JKT kwa mujibu wa sheria

    Nitaku pm mkuu .. Nasubiri akisharudi ndio nitaweza kuanza kujua ni kipi nifanye
  13. blea

    Msaada kuhusu waliojiunga JKT kwa mujibu wa sheria

    Ahsante sana mkuu kwa kunitia moyo maana hapa Kichwa hakisomi kabisa nimeshindwa hata kutoka kwenda kutafuta mkate wa siku najinywea tuu nyagi hapa nimsubiri arudi ili tuyapange
  14. blea

    Msaada kuhusu waliojiunga JKT kwa mujibu wa sheria

    Nina wasi wasi zaidi na suala la chuo kuwa wanaweza kumzuia asiingie iwapo hatokuwa na cheti cha kuhudhuria hayo mafunzo ya jkt
  15. blea

    Msaada kuhusu waliojiunga JKT kwa mujibu wa sheria

    Wakuu habari za usiku huu naomba mwenye uelewa juu ya vijana waliojiunga na jkt kwa mujibu wa sheria maana hapa Niko kwenye wakati mgumu kijana wangu alipangiwa jeshi kwa mujibu wa sheria na aliripoti kama wiki moja imepita sasa ... Usiku huu amenipigia Simu kuwa mazoezi na mazingira ya kambi...
  16. blea

    Nimemkumbuka mkarimu wa Kipemba,aliokota vyeti vyangu na kunirudishia bila hata kupokea shilingi

    Nimejikuta nafurahia jinsi kisa hiki kikivyobeba mafunzo mengi
  17. blea

    RC Morogoro: Marufuku kuuza mahindi mabichi

    Kulima nilime mwenyewe afu bei unipangie wewe
Back
Top Bottom