blea
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 379
- 114
Wakuu habari za usiku huu naomba mwenye uelewa juu ya vijana waliojiunga na jkt kwa mujibu wa sheria maana hapa Niko kwenye wakati mgumu kijana wangu alipangiwa jeshi kwa mujibu wa sheria na aliripoti kama wiki moja imepita sasa ... Usiku huu amenipigia Simu kuwa mazoezi na mazingira ya kambi yamemshinda na amelazimika kutoroka kambi
Naomba msaada wa kueleweshwa juu ya yafuatayo
1. Kama mzazi natakiwa nifanyeje ili nisiwe sehemu ya utovu wa nidhamu aliounyesha kijana wangu
2. Kitaaluma iwapo atafaulu kuendelea na chuo kuna athari zozote atakazozipata kwa kutokuhudhuria jkt ?
Natanguliza shukrani zangu kwenu