Search results

  1. M

    Nukuu maarufu za Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

    Nimejaribu kuzitafakari quotes za Mzee Mkapa na kugundua ni quotes zilizokuwa na maana kubwa sana. Hazikuwa quotes za kisiasa, kikanjanja na za kulaghai wananchi bali zilijaa ukweli na uhalisia. Tujikumbushe kidogo hizo quotes 1. Ukweli na Uwazi 2. Mtaji wa Maskini ni Nguvu Zake mwenyewe...
  2. M

    NMB yampongeza Saniniu kwa lugha ya kimasai

    Hakika ule msemo wa pesa sabuni ya roho umejidhihirisha baada ya Bilionea Laizer kupongezwa kimasai na Benki ya NMB wakionyesha heshima kubwa kwake. Pata pesa benki zikufate popote ulipo tena kwa kutumia lugha yako.
  3. M

    Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

    Nimeona picha za Tunda insta baada ya Bilionea Laizer kutangazwa akijipa jina la Tunda Laiser Picha zake zimeshtusha mashabiki kutokana na muonekano wake akiwa kakonda na mabaka meusi yamemjaa miguuni. Wamehoji pia ukimya wa mwanadada huyu ambaye kwake Social Media ilikuwa kama kifungua kinywa...
Back
Top Bottom