Engine oil haubanwi na aina yoyote,unaweza tumia yoyote tu ila kwa gearbox ni lazima utumie nisani na kwa extrail kuna oil inaitwa Matic J ndo yake hiyo,inauzwa kwenye range ya 40,000 mpaka 45,000 kwa lita, zinaingia lita 4, ila unatembelea kuanzia km 60,000 mpaka 120,000 ndo unabadilisha.
Nimeelewa ulichoandika na ndo maana nikakujibu si kweli kuhusu hizo gari unazosema nyingi si 4WD, kuhusu 4WD ni uchaguzi wako wakati unanunua hayo maelezo mengine ni kwa muuliza swali wa mwanzo, usipaniki.
Hii si kweli,gari kuwa na 4WD ni chaguo lako mnunuaji,mm ninayo na nina mwaka wa tano huu na ni 4WD, ubovu au uimara wa gari ni ww mtumiaji kuzingatia matumizi na kuifanyia service kwa wakati.
Kaka hiyo mimba umetegeahewa,hakuna mimba ya namna hiyo,mwanamke ukutane naye kisha aanze kujisikia vibaya hapohapo na baada ya siku kadhaa anakwambia ana mimba,huyo alikuja nayo kwako kwa lengo la kukutega,kama huamini hesabu siki au miezi mliyokutana na mwende hospitali mkapime ujue ina muda...
Mimi naona itakuwa vizuri kama utamuanzishia utaratibu wa kumfundisha au kama huwezi wewe jaribu kumtafutia mwalimu wa kumsaidia,kwa ulimengu huu wa leo ni vizuri zaidi akajua kusoma na kuandika na nina uhakika ukimsaidia kwa hilo atazidi kukupenda maana ataona unamjali pamoja na mapungufu yake.
Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa mheshimiwa waziri kwa kuliona na kulitumbua hili jipu ambalo lilikuwa limeshakuwa sugu na inaonekana lilikuwa limeota mahali pabaya. Watendaji wa bodi hii wamekuwa ni kama hawapo na wala hawana shida ya kuwafanya wadogo zetu wasome kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.