Natafuta baunsa wa kunisindikiza kupeleka barua ya Talaka, nitamlipa

Wandugu,
Kama kuna mwenye namba za simu za baunsa yeyote anisaidie. Nahitaji escort yake kesho, napeleka barua ya Talaka ukweni...sasa nina wasiwasi baba mkwe/ndugu/wife wanaweza kunizingua kwa namna moja au nyingine. Pia naomba ushauri kama kuna namna ya kufikisha barua hii bila mimi kwenda na ikatambulika.

Asanteni kwa ushirikiano mliouonyesha wakati huu wa janga la Ndoa ninalolipitia.

Acha kulifanya MMU kuwa baraza la comedy.

Ni vizuri ungeenda upande wa jokes au chit chat.

Ahsante.
 
Tumia barua pepe. au tumia wakala wa kusambaza barua na vifurushi.
 
Wandugu,
Kama kuna mwenye namba za simu za baunsa yeyote anisaidie. Nahitaji escort yake kesho, napeleka barua ya Talaka ukweni...sasa nina wasiwasi baba mkwe/ndugu/wife wanaweza kunizingua kwa namna moja au nyingine. Pia naomba ushauri kama kuna namna ya kufikisha barua hii bila mimi kwenda na ikatambulika.

Asanteni kwa ushirikiano mliouonyesha wakati huu wa janga la Ndoa ninalolipitia.
Nenda kakodishe mguu Wa kuku uende nao umeuning'iniza kiunoni wote watakusalimia shikamoo.
 
Toka na machizi wako kadhaa kisha ukifika unawaacha nje, wakileta za kuleta, wewe na machizi wako mnalianzisha
 
Wandugu,
Kama kuna mwenye namba za simu za baunsa yeyote anisaidie. Nahitaji escort yake kesho, napeleka barua ya Talaka ukweni...sasa nina wasiwasi baba mkwe/ndugu/wife wanaweza kunizingua kwa namna moja au nyingine. Pia naomba ushauri kama kuna namna ya kufikisha barua hii bila mimi kwenda na ikatambulika.

Asanteni kwa ushirikiano mliouonyesha wakati huu wa janga la Ndoa ninalolipitia.

Una bei gani mkuu
 
auto-homeless-divorce-lawyer-304876.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom