Search results

  1. GanaJr

    KERO Wanafunzi wa SAUT Mwanza hawajapewa pesa za kujikimu mpaka sasa

    Unatakiwa uvikwepe hivi vyuo vya binafsi..Vina madudu mengi sana.
  2. GanaJr

    Kwanini watusi wanataka kutambuliwa Tanzania?

    Eneo ninaloishi mtendaji wa kata ni mtusi.
  3. GanaJr

    DOKEZO Wachimbaji waliofariki Mgodi wa Dhahabu Simiyu waliingizwa kwenye mashimo kinyemela

    Mtoa maada yawezekana na wewe ulikuwa unamiliki mashimo hapo ila kwakuwa ulikuwa muhanga ndo umekuja kutoa siri za wenzako.
  4. GanaJr

    TV4Sale Hisense TV smart inch 50 inauzwa

    Sema ungekuwa karibu yangu leo leo ungechukua hela ...Tatizo nipo mbali sana na DSM
  5. GanaJr

    Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

    Ingekuwa ni mwanaume anaomba ushauri huu angepewa kila aina ya kejeli na matusi..Ila kwa sababu mwanaume ni dhaifu kwa mwanamke, wanaume wengi wanatoa ushauri kwenye hili ili hali hawawazi kuhusu lililoulizwa ila wanatega ili kumpata huyu binti maana ashaonesha udhaifu tayari kujitangaza...
  6. GanaJr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wachezaji wengi wazuri Newcastle ni majeruhi na suspension
  7. GanaJr

    Husband is needed

    She is broke trust me.
  8. GanaJr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaaah Fiorentina ni wa kunifanyia hivi kweli
  9. GanaJr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Fiorentina...Anatumaliza leo hii
  10. GanaJr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Timu za Italy walio wengi ni wacheza kamari..Ni hatari sana..Ngoja leo tuone inaishaje hii mechi maana ni hatari sana kwa afya za wakamaria leo hii
  11. GanaJr

    First year 2023/2024 elimu ya juu

    Mkiwa chuoni mjitahidi kutumia vizuri boom lenu hasa hasa mnaotoka kwenye familia zenye uwezo wa chini na kati ili msiendelee kuwatesa wazazi au walezi wenu. All in all ukiwa chuo kikuuu usiwe antisocial kumbuka watu wanaokuzunguka hapo chuoni ndo watakuja kuwa msaada wako baadaye. Heshimu kila...
  12. GanaJr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Timu za Saudi Arabia ni wacheza kamari wakubwa sana hao
  13. GanaJr

    Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

    Kwa mtoto wa kike kazi anayo kwakweli..mimi nikiwa mmoja wa waliopita huko nilikuwa nawahurumia sana .
  14. GanaJr

    Wahitimu shule za vipaji maalum

    Mimi nilisoma Tabora boys advanced level leo hii naona umuhimu mkubwa wa kusoma shule za vipaji maana nilipata kazi kirahisi sana baada ya mwajiri wangu kuona kuwa nimesoma hiyo shule.
  15. GanaJr

    USHUHUDA: Jinsi betting ilivyonidumbukiza kwenye dimbwi la umasikini na kuwa tegemezi kwa Wadogo zangu

    Unaachaje betting mkuu..Ni vile watu hawajui tuu kuifanya kikamilifu hii kazi.
  16. GanaJr

    USHUHUDA: Jinsi betting ilivyonidumbukiza kwenye dimbwi la umasikini na kuwa tegemezi kwa Wadogo zangu

    Unatakiwa kubeti hivi..Mimi kila wiki nakusanya zaidi ya laki tatu.
Back
Top Bottom