USHUHUDA: Jinsi betting ilivyonidumbukiza kwenye dimbwi la umasikini na kuwa tegemezi kwa Wadogo zangu

Una maana hiyo 50 aliyostake ndio imefanya maisha yake yayumbe au?

Pia inawezekana vp mtu astake 50K kwa odds 30 then ale 400K?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna kampuni zinazotoa bonus? Na umeeleea vzuri kuhusu anguko lake? Tafadhali soma kwa umakini na hakuna sehemu nimesema lazima uache kubet. Nimesema betting inarudisha nyuma. Bet for your own risk.
 
Unatakiwa kubeti hivi..Mimi kila wiki nakusanya zaidi ya laki tatu.
Screenshot_20230311_034918_SportyBet.jpg
 
Unaachaje betting mkuu..Ni vile watu hawajui tuu kuifanya kikamilifu hii kazi.
Mkuu kula pesa kupitia betting ni kutuliza akili tu kaka, na kuomba timu itoe unavyotaka.
100,000 unatia game zako mbili kwa odds ya 1.5 mpaka odds 2 hukosi pesa. Siyo lazima ubeti kila siku.
 
Back
Top Bottom