Search results

  1. T

    Kumlinganisha Rais Samia Suluhu na Hayati Rais Magufuli ni tabia ya hovyo na haikubaliki

    Kumeibuka na tabia fulani ya kumshindanisha Mheshimiwa Samia na hayati Magufuli kwenye kila jambo na hatua anazochukua. Mfano, kwenye hafla ya kupokea ripoti ya CAG mheshimiwa aliagiza kusimamishwa kwa Mkurugenzi wa Bandari, baada ya hatua hiyo kuliibuka na wachambuzi uchwara wakaanza...
  2. T

    Uchaguzi 2020 Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea

    Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais Sababu ni hizi; Mosi, Tundu Lissu ni mgonjwa. Baada ya matatizo yaliyompata huyu ndugu yetu kule dodoma, uwezo wake wa kujenga hoja umeporomoka kwa kiasi kikubwa. I mean, Tundu lissu wa sasa ni tofauti kabisa na...
  3. T

    Uchaguzi 2020 Kabla ya kupitishwa kuwa mgombea tujiulize haya kuhusu Tundu Lissu

    Kutokana na misimamo yake na itikadi kali za kisiasa kama ikitokea Tundu lissu akapitishwa na chama chake(CHADEMA)kuwania Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020 kwa bahati mbaya akashindwa; Je, atakuwa tayari kukubaliana na matokeo hayo ya uchaguzi? Je, misimamo yake na itikadi zake...
  4. T

    Janga la Corona limempaisha Rais Magufuli kisiasa

    Namna ambavyo Rais magufuri amejipambanua kukabiliana na janga la corona ni dhahiri amekonga nyoyo za walio wengi na hii imepelekea kupata uungwaji mkono na maelfu ya watanzania wakiwemo wa vyama vya upinzani. Kitendo cha Rais Magufuli kutokubaliana na agenda ya kujifungia (LOCK DOWN) ambayo...
Back
Top Bottom