Search results

  1. Luhomano

    Kuhusu ajira mpya

    Wakuu habari ya jumapili Nina mdogo wangu kasoma kozi ya laboratory science and technology chuo cha ualimu Monduli ngazi ya diploma kahitimu mwaka Jana 2019 , sasa naomba kuuliza je anaweza kuomba ajira zilizotangazwa hapa juzi ukizingatia wao wanatambuliwa kama laboratory technicians na siyo...
  2. Luhomano

    Laboratory Science and Technology

    Wakuu habari ya muda huu, Kuna hii Course ya Laboratory Science and Technology inayotolewa na vyuo vya ualimu kama Monduli teachers college, Kleruu pamoja na Tabora teachers college. Je, wahitimu wa hii course wameshawai ajiriwa katika shule binafsi au serikali tangu kuhitimu?
  3. Luhomano

    Ofisi za nacte za kanda Mbeya

    Wadau habari ya jioni, Naombaaa kuuliza ofisi za kanda za nacte Mbeya ziko karibu na taasisi gani, kwa mfano shule. Maana mi mgeni kidogo hapa Mbeya ila kuna Uzi nilisoma humu nikaambiwa maeneo ya Sokomatola
  4. Luhomano

    Tatizo la umeme katika nyumba

    Wakuu habari ya wakati huu naomba kuuliza swali kuhusu umeme.katika kuweka mfumo wa umeme katika nyumba nilimtafuta fundi akasuka system nzima kabla ya TANESCO hawajaniunganishia umeme kutoka kwenye nguzo kwenda kwenye nyumba sasa, baada ya kuunganisha kuna tatizo likatokea circuit breaker...
  5. Luhomano

    Mwenye ujuzi na water pump

    Wakuu habari, Alhamisi niliuliza mwenye ujuzi wa water pump maana pump yangu ya kuvuta maji imekatika kifaa cha kupokea mafuta kutoka kwenye tank kwenda kwenye engine sasa naomba mwenye ujuzi na hizo pump anisaidie jinsi ya kutatua tatizo. Aina ya pump ni BICSTAR. Kifaa chenyewe kabla...
  6. Luhomano

    Mwenye ujuzi wa pampu za kuvuta maji (Water Pump)

    Wakuu habari za saizi, nimenunua pump ya kuvuta maji kwaajili ya kilimo chaumwagiliaji sasa katika harakati za ufanyaji kazi wake imekatika chuma kinachopokea mafuta kutoka kwenye tank kwenda kwenye mrija unaopelekamafuta kwenye engine. Wakuu naomba msaada was jinsi ya kupata hiyo spare au...
  7. Luhomano

    Hodi hodi

    Wakubwa shikamoo, rika moja mambo vipi, Luhomano hapa mwanajukwaa mpya nimependa kujiunga na jamiiforum kwasababu ni darasa tosha. Shukrani
Back
Top Bottom