Luhomano
Member
- May 1, 2020
- 57
- 32
Wakuu habari ya wakati huu naomba kuuliza swali kuhusu umeme.katika kuweka mfumo wa umeme katika nyumba nilimtafuta fundi akasuka system nzima kabla ya TANESCO hawajaniunganishia umeme kutoka kwenye nguzo kwenda kwenye nyumba sasa, baada ya kuunganisha kuna tatizo likatokea circuit breaker inajirudi baada ya kuwasha.
Lakini baada ya hapo nikamuita fundi tena akarekebisha lakini baada ya siku tatu tatizo limerudi palepale. Je wadau hapo tatizo litakuwa ni nini? Msaada tafadhali. Ahsante
Lakini baada ya hapo nikamuita fundi tena akarekebisha lakini baada ya siku tatu tatizo limerudi palepale. Je wadau hapo tatizo litakuwa ni nini? Msaada tafadhali. Ahsante