Ofisi za nacte za kanda Mbeya

Luhomano

Member
May 1, 2020
57
32
Wadau habari ya jioni,

Naombaaa kuuliza ofisi za kanda za nacte Mbeya ziko karibu na taasisi gani, kwa mfano shule. Maana mi mgeni kidogo hapa Mbeya ila kuna Uzi nilisoma humu nikaambiwa maeneo ya Sokomatola
 
stendi kuu kwa nyuma.....ghorofa la chama cha walimu....ofisi zao zipo ghorofa la kwanza....mlango wa kwanza.

GOOD LUCK.
 
Back
Top Bottom