Laboratory Science and Technology

Luhomano

Member
May 1, 2020
57
32
Wakuu habari ya muda huu,

Kuna hii Course ya Laboratory Science and Technology inayotolewa na vyuo vya ualimu kama Monduli teachers college, Kleruu pamoja na Tabora teachers college.

Je, wahitimu wa hii course wameshawai ajiriwa katika shule binafsi au serikali tangu kuhitimu?
 
Wakuu habari ya muda huu,

Kuna hii course ya laboratory science and technology inayotolewa na vyuo vya ualimu kama Monduli teachers college, Kleruu pamoja na Tabora teachers college.

Je, wahitimu wa hii course wameshawai ajiriwa katika shule binafsi au serikali tangu kuhitimu.
laboratory science inayozungumziwa hapa ni ile ya afya ya binadamu sio ya wanyama (SUA) au ike ya walimu wa maabara, unayosemea wewe.
 
medical laboratory science, ni mmaabara ya sayansi ya afya. na medical laboratory technology ni ya utaalam wa kufunga vifaa vya maabada. sasa hiyo ya walimu sijajua inaitwa vipi.
 
[QUOTE="Mwl Evarist Mchele,Inaitwa laboratory science and technology, malengo ya serikali nadhani ni hao wahitimu wakatumike katika mashule kama lab technicians.
 
Back
Top Bottom