Search results

  1. K

    Unafanyaje unapogundua mtoto uliyemlea kwa zaidi ya miaka nane sio wako?

    yasikie tu, natamani ningeweza kuwa kawaida ila sidhan, tangu nilipotambua taswira yake imebadilika kwangu, hata nikimuangalia namuona kama dude dede flani hivi, bad enough yeye ni mtoto wa pili, yuko dada ake na mdogo. yan kifupi sijui sijui tu yan inakuaje
  2. K

    Unafanyaje unapogundua mtoto uliyemlea kwa zaidi ya miaka nane sio wako?

    Yote ninayowaza yakishindikana niondoke niende ninakojua mimi, na mtu asiniulize
  3. K

    Unafanyaje unapogundua mtoto uliyemlea kwa zaidi ya miaka nane sio wako?

    Hivi unachukua uamuzi gani baada ya kujua kua mtoto uliemlea kwa zaidi ya miaka nane sio wakwako? Nini cha kufanya? Then yule mke wako unamfanyaje kwa mfano?
  4. K

    #COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    MoseKing, sawa wewe mwenye akili ya kiulaya ila nimesema "nadhani ni wakati sasa tukiwa tunajadili ni jinsi gani ya kuushinda huu ugonjwa pia tujadili ni jinsi gAni ya kuishi na huu ugonjwa kama ilivyo UKIMWI na malaria."
  5. K

    Picha: Huu mmea umetajwa na rais wa Madagascar kuwa unatibu corona kwenu upo?

    hua unaupanda kwa kutumia mti wake au ni mbegu ?
  6. K

    #COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Ni wazi kua watu wengi walidhani Corona itakua ni ugonjwa wa labda muda mfupi kisha utadhibitiwa, lakini hali ni tofauti kwani hadi sasa kesi zinaongezeka kila uchao, hata huko Marekani ambako wameamua kuondoa lockdown sio kwa sababu mambo yamekaa sawa, keshi bado ni nyingi na watu wanaendelea...
  7. K

    Ushauri: Nijenge nyumba kubwa kwa muda mrefu au nijenge ndogo uani, kiwanja 20:30

    naposema kubwa naamisha yenyevyumba kama vitu, living room, jiko na sehemu kama ya kusomea, ninapomaanisha ndogo namaanisha labda chumba kimoja tu cha self na living room(sebure bas)
  8. K

    Ushauri: Nijenge nyumba kubwa kwa muda mrefu au nijenge ndogo uani, kiwanja 20:30

    naombeni ushauri wenu ndugu, ninakiwanja cha 20:30 square meter, uwezo wa kujenga nyumba kubwa kwa haraka sina na maisha ya kupanga siyapendi, je mnanishauri nini? nijenge ndogo tu kwa nyuma kwanza nihamie au nivumilie nijenge kubwa ingawa itanichukua muda mrefu kutokana na hali ya kipato, na...
Back
Top Bottom