Search results

  1. B

    CCM imepata adhabu mkoa wa Kilimanjaro!

    Chama cha mapinduzi kimeshindwa vibaya sana katika mkoa wa Kilimanjaro katika majimbo 9 ya uchaguzi Ccm imeshinda majimbo mawili yaliyoko same ! Ukawa wameshinda majimbo 7 moshi mjini cdm,hai cdm,rombo cdm,moshi vijijini Cdm, same magaribi cdm, vunjo Nccr, siha cdm.
  2. B

    Nini sababu ya kutoka shahawa wakati wa kujisaidia?

    Naomba kujua nini kinasababisha mtu anapojisaidia haja kubwa, shahawa kutoka kwenye uume (mwanaume) ni tatizo lililotokea kwa muda sasa. Msaada wa kitaalam.
  3. B

    kupanda mtungi na jogoo kushindwa!

    Nimekuwa na tatizo, yani naweza kuwa niko na wife kwenye 6x6 napigaaa! mara jogoo analaa, hasa nikiwa na mawazo sana, na akishalala haamki mpaka baadae sana! wataalam msaada tafadhali.
  4. B

    Nini husababisha

    Jamaa yangu aliniomba ushauri nikashindwa kumjibu tatizo lake ni hili akiwa na mkewe kwenye 6kwa6 hupata goli moja raundi ya pili hushia kuanza na kushia mzee kulaa mwenyewe akiwa kwenye shughuli na game huishia hapo... Je ni tatizo gani linalomwandama.. Wakat mwingine akiwa na mkewe...
  5. B

    Msaada! Msaada!

    Nina mke nilyefunga nae ndoa, kabla ya ndoa nilikuwa na mtoto wa nje ya ndoa! Mke wangu alifahamu kabla sijafunga nae ndoa.. Aliahidi kumpenda lakini baada ya kufunga ndoa amebadilika. ANANIAMBIA HAMPENDI WALA HATAISHI NAE KAMWE JE HUYU MKE NI WA NAMNA GAN? Hata hajawahi kumuona zaidi ya picha!
  6. B

    Msaada jamani: je ni sawa?

    Mimi nina mke na mtoto mmoja, kwa bahati mbaya mke wangu anaishi mbali na mimi mikoa tofauti, tunaishi hivyo kwa kuwa yeye ni mwajiriwa wa serikali na mimi ni mfanyabiashara. Hivyo bado hajapata uhamisho wa kunifata mimi. Tumefunga ndoa na ndoa yetu ina mwaka na miezi 6 huwa tunatembeleana kila...
  7. B

    Je ni sawa?

    Je ni sawa kumweleza demu wako wa zamani kwamba umeoa? Nilikuwa na mwanamke mmoja nilizaa nae, ila sikuwahi kumwambi kama nitamuoa, ila yeye alikuwa na matarajio ya kuolewa na mimi, nikapata mke mwingine ambae ndiye aliyekuwa chaguo langu, mke huyo baada ya kujua nina demu ambae nilizaa nae...
  8. B

    Maliza basi nimechoka!

    Huu ni msemo wa baadhi ya wanawake wanapokuwa faragha, mpenzi wangu mara nyingi nikienda dk 5 na zaidi huniambia hivyo, je ni kuridhika au ni kukereka... Nikimuuliza wewe tayari anasema ndiyo....! Je anadanganya?
  9. B

    Wabunge wetu acheni utoro jamani

    Ukiangalia semina ya bunge inayoendelea dodoma jioni hii utaona wabunge wengi hawako kwenye semina... Semina hiyo inatolewa na mwanasheria wa zamani wa Kenya Amos Wako... Lakini wabunge wetu wamekuwa watoro sana...nadhani si jambo zuri kuwa watoro namna hiyo...tunapata mgeni na mgeni mnamkimbia...
  10. B

    Dr. Slaa: Serikali tatu si pendekezo la CHADEMA

    Akizungumza katika kipindi cha hotmix kinachorushwa na EATV, DK SLAA AMESEMA SUALA LA SERIKALI TATU SI LA CHADEMA BALI NI LA TUME YA WARIOBA. Amesema kuwa wanaotaka serikali mbili ni sawa na kuvunja msingi (foundation) iliyowekwa na tume iliyoongozwa na Jaji Joseph Sinde Warioba.
  11. B

    Kardinali pengo: Kura ya siri

    Kiongozi wa kanisa lenye waumini wengi zaidi hapa Tanzania Muadhama Policarp Kardinali Pengo amependekeza kura ya siri ndiyo inayolinda utu... Amesema ni maoni yake kama Pengo na si maoni ya wakatoliki.
  12. B

    Kamishna Humprey Polepole: Kura iwe ya siri

    Akizungumza katika kipindi cha kipima joto kinachorushwa na Itv kamishna wa tume ya katiba Humprey polepole amependekeza kura iwe ni jambo la siri. Amesema ni jambo la kushangaza kwa wale wanaotetea kura ya wazi kwa kujaribu kulinganisha kura ya kupitisha bajeti, ambayo inakuwa ya wazi na suala...
  13. B

    Waliowahi kufukuzwa CHADEMA

    * Dk Aman Walid Kaburu/ alifukuzwa * Chama wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti Taifa *Estomih Mallah, diwani (Arusha) Alifukuzwa *John Bayo, diwani (Arusha) alifukuzwa *Reuben Ngowi, diwani (Arusha) alifukuzwa *charles Mpanda, diwani (Arusha) alifukuzwa *Rehema Mohammed, diwani...
  14. B

    Mazishi ya naibu meya vicent patrice rimoy.

    Mazishi ya aliyekuwa diwani wa kata ya kiboroloni, naibu meya, mwenyekiti wa CHADEMA wilaya moshi mjini ndg VICENT PATRICE RIMOY ndiyo tunatoka mochwari kcmc hospital, na tunaenda nyumbani kwake hapa moshi maeneo ya kibororoni kwa Alfonce.. Baada ya hapo tutaelekea kanisani, kisha tunaanza...
  15. B

    Kazi za ndani Saudiarabia: Abasi Mtemvu awataka wa Tanzania waende!

    Mbunge wa Temeke jijini Dar es salaam ammekuwa akiwataka wa Tanzania kuchangamkia ajira za majumbani zinazopatikana nchini Saudi arabia, Mbunge huyo amekuwa akipiga picha na kuonyesha kwenye vyombo vya habari, akiwataka wa Tz hasa wanawake kwenda huko saudia..my take.. Shirika la utangazaji la...
  16. B

    Kagasheki ataka wanakutwa wameuwa wanyama nao wauwawe...!

    Waziri wa utalii mh Hamis kagasheki amewakataka askari wanaomkuta jangili ameau mnyama nao wamuue!! Ameyasema hayo mkoani Arusha...amesema hakuna haja ya kuwapeleka mahakamani! Eatv Radio breaking news..
  17. B

    Walioingiza mabomu Arusha wakamatwa!

    WATUHUMIWA walioingiza mabomu ya kurushwa kwa mkono yaliyotupwa Arusha Mei na Juni katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti na kwenye mkutano wa wa hadhara wa CHADEMA, Soweto mkoani Arusha, wamekamatwa. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo, alisema hayo jana katika...
  18. B

    Kamanda Polisi Zanzibar abadilishwe haraka sana..

    Kama walivyoshauri kanisa catholic kamanda wa polis zanzibar anapaswa ama kujiuzulu ama kubadilishwa na kuwekwa mwingine... Astaafiswe tu kwa kweli.. Ameshindwa kudhibiti wa zanzibari wanaofanya matukio kama ya kumwagia viongozi tindikali ama kuua raia..
  19. B

    Makofi kwa Raisi!

    >Ni nadra sana siku hizi kusikia makofi yakipigwa na wananchi kuashiria furaha ya Rais akiwa anawahutubia, mara nyingi huwa nafatilia sana mikutano ya huyu mheshimiwa.. Huwa najiuliza kwa nini wananchi hawampigii makofi? Kwa wale wanaofatilia au kuona hotuba za Baba wa Taifa watakubaliana na...
  20. B

    Kwanini mikutano ya CCM wanajaa watoto wadogo?

    >Nimeangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu, inamwonyesha Rais akizindua maji wilayani kwimba jijini mwanza.. Lakini cha kushangaza watoto ni wengi sana na wazee ni wachache! Vijana hakuna kabisa! Kulikoni ccm?
Back
Top Bottom