Waliowahi kufukuzwa CHADEMA

B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Likes
6
Points
135
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 6 135
* Dk Aman Walid Kaburu/ alifukuzwa
* Chama wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti Taifa
*Estomih Mallah, diwani (Arusha) Alifukuzwa
*John Bayo, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Reuben Ngowi, diwani (Arusha) alifukuzwa
*charles Mpanda, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Rehema Mohammed, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Habiba Ally diwani (Mara) alifukuzwa
*Miriam Daudi, diwani (Mara) alifukuzwa
*Amani Mwipaja mwanasheria morogoro alifukuzwa
*David Kafulila kiongozi makao makuu, alifukuzwa
*Josephu kasamba, mwenyekiti BAVICHA Mbeya alifukuzwa
*Cosmas Sanga katibu bavicha mbeya alifukuzwa
*Allam Mwapamba, Baba mzazi wa Mtela mwapamba, alifukuzwa
*Mtela Mwapamba kiongozi BAVICHA, ALIFUKUZWA
*Julliana Shonza kiongozi Bavicha alifukuzwa
*Zitto Kabwe Zuber amesimanishwa
*Dk Kitila Mkumbo amesimamishwa,
*Samsoni Mwigamba, amesimamishwa.

HAWA WOOTE NA WENGINEO WALIFANYA MAKOSA NA KUFUKUZWA AMA KUSIMAMISHWA, SASA HAO WANAOLETA MAMBO YA UDINI NA UKABILA WATUAMBIE, JE HAWA WALIOFUKUZWA AMA KUSIMAMISWA NI WA DINI ZIPI! Je kuna uonevu, MIMI naona kuna uwajibikaji, na huu ni mfano mzuri kwa chama kinachotaka kuingia madarakani, kila kila anaefanya kosa ATAADHIBIWA BILA KUJALI YEYE NI NANI KWENYE CHAMA, NAWAPONGEZA SANA CHADEMA KWA UWAJIBIKAJI WENU, NAAMINI MTAKAPOONGOZA DOLA MTALETA UWAJIBIKAJI WENYE TIJA KATIKA TAIFA

MUNGU IBARIKI CHADEMA.
 
P

politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
2,374
Likes
191
Points
160
P

politiki

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
2,374 191 160
ndugu yangu achana na hao watu hawana hoja
chadema must stick with this necessary processs for the sake of party to stay alive
otherwise cdm itakuwa haina tofauti na CCM chama kilichojaa na kukumbatia majambazi, wabakaji na manyangau
wa nyara za tembo. Ni bora to sacrifice chama leo ili tuokoe nchi baadaye badala ya ccm walipokubali kuokoa chama na kuiacha nchi iangamie in the name of solidarity. never never never never never look back. maamuzi ya kamati ni mazuri let's stick to the pricipal
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,824
Likes
23,237
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,824 23,237 280
Nidhamu bila uhuru ni utumwa, lakini uhuru bila nidhamu ni uwendawazimu!

The Boss, take your pick!

Hii ya chadema ni nidhamu sawa na ya kihayatollah wa Iran..
au zamani USSR...
jiulize nidhamu za Democrats au Republicans Marekani ziko hivi?
 
manning

manning

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,527
Likes
117
Points
160
manning

manning

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,527 117 160
CHADEMA nimezidi kukipenda kwa kukusanya ushahidi kumuuliza mtu kuhusu tuhuma zake na wote wanakili. Kwa mfano wa hivi karibuni Mwigamba ailikil, mkumbo kakili,mwenyekiti wa MONDULI KAKILI , ZITO ALIKILI akawa tayari kujiuzulu ndo akakataliwa na kikao.Wenzetu wenye mshikamano , mhuuuuuuuuuuu... !!! basi basi wakuu.
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
6,739
Likes
1,001
Points
280
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
6,739 1,001 280
Asante kaka kwa kuweka kumbukumbu vizuri, wote waliofukzwa ni waislamu au wakristu??? udini CDM hakuna ni kazi tu dini yako ni yako na familia yako. Uaminifu hauna dini na Usaliti pia hauna dini wa ukabila, CDM CHAPA KAZI njia hiyo nyeupeee
 
sangas

sangas

Senior Member
Joined
Aug 26, 2012
Messages
122
Likes
41
Points
45
sangas

sangas

Senior Member
Joined Aug 26, 2012
122 41 45
tunaipenda cdm sababu ya kuweza kuthubutu kufanya maamuzi magumu,najua watendaji wanaokwapua pesa umma wangekuwa jela na kusimamisha nidhamu ktk nchi
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,608
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,608 280
Asante kaka kwa kuweka kumbukumbu vizuri, wote waliofukzwa ni waislamu au wakristu??? udini CDM hakuna ni kazi tu dini yako ni yako na familia yako. Uaminifu hauna dini na Usaliti pia hauna dini wa ukabila, CDM CHAPA KAZI njia hiyo nyeupeee
Wanatoka mkoa gani?
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,608
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,608 280
* Dk Aman Walid Kaburu/ alifukuzwa
* Chama wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti Taifa
*Estomih Mallah, diwani (Arusha) Alifukuzwa
*John Bayo, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Reuben Ngowi, diwani (Arusha) alifukuzwa
*charles Mpanda, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Rehema Mohammed, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Habiba Ally diwani (Mara) alifukuzwa
*Miriam Daudi, diwani (Mara) alifukuzwa
*Amani Mwipaja mwanasheria morogoro alifukuzwa
*David Kafulila kiongozi makao makuu, alifukuzwa
*Josephu kasamba, mwenyekiti BAVICHA Mbeya alifukuzwa
*Cosmas Sanga katibu bavicha mbeya alifukuzwa
*Allam Mwapamba, Baba mzazi wa Mtela mwapamba, alifukuzwa
*Mtela Mwapamba kiongozi BAVICHA, ALIFUKUZWA
*Julliana Shonza kiongozi Bavicha alifukuzwa
*Zitto Kabwe Zuber amesimanishwa
*Dk Kitila Mkumbo amesimamishwa,
*Samsoni Mwigamba, amesimamishwa.

HAWA WOOTE NA WENGINEO WALIFANYA MAKOSA NA KUFUKUZWA AMA KUSIMAMISHWA, SASA HAO WANAOLETA MAMBO YA UDINI NA UKABILA WATUAMBIE, JE HAWA WALIOFUKUZWA AMA KUSIMAMISWA NI WA DINI ZIPI! Je kuna uonevu, MIMI naona kuna uwajibikaji, na huu ni mfano mzuri kwa chama kinachotaka kuingia madarakani, kila kila anaefanya kosa ATAADHIBIWA BILA KUJALI YEYE NI NANI KWENYE CHAMA, NAWAPONGEZA SANA CHADEMA KWA UWAJIBIKAJI WENU, NAAMINI MTAKAPOONGOZA DOLA MTALETA UWAJIBIKAJI WENYE TIJA KATIKA TAIFA

MUNGU IBARIKI CHADEMA.
Twambie hao wanatokea mikoa gani kwa asilimia kubwa.
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
6,739
Likes
1,001
Points
280
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
6,739 1,001 280
WASALITI HAWANA MKOA, japo wapo sana kwenye mikoa masikini na iliyonyuma kielimu
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
32,795
Likes
15,237
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
32,795 15,237 280
Waambie TeamZitto na TeamLumumba.
 
Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
4,726
Likes
70
Points
145
Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
4,726 70 145
Mtu mmoja anaeitwa kwa jina moja zitto amefilisika kwa kuwa na mipango mibovu
 
S

sheckman

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2013
Messages
425
Likes
3
Points
35
S

sheckman

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2013
425 3 35
Wanajf inamaana Hii cdm kama MTU co mwivi hatakiwi ktk chama hiki. Celewielewi
 
L

lupe

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
5,659
Likes
5
Points
0
L

lupe

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
5,659 5 0
ndugu yangu achana na hao watu hawana hoja
chadema must stick with this necessary processs for the sake of party to stay alive
otherwise cdm itakuwa haina tofauti na CCM chama kilichojaa na kukumbatia majambazi, wabakaji na manyangau
wa nyara za tembo. Ni bora to sacrifice chama leo ili tuokoe nchi baadaye badala ya ccm walipokubali kuokoa chama na kuiacha nchi iangamie in the name of solidarity. never never never never never look back. maamuzi ya kamati ni mazuri let's stick to the pricipal
Kamanda hapo uliposema"magamba wako busy kuokoa chama na kuacha nchi iangamie."huo msemo ni mwiba mchungu sana na mkali mno kwa magamba, kikwete, polisi-magamba, Uv-magamba, tbc-magamba na vibaraka wooote pamoha na misukule yote ya magamba.

NAWAKILISHA JAMENI MSIJENGE CHUKI.
 
L

lupe

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
5,659
Likes
5
Points
0
L

lupe

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
5,659 5 0
Ukiangalia wote waliofukuzwa ni wale waliokuwa na akili pana hata waliosimamishwa wote wanawazidi viongozi wa makao makuu upea wanaona wawafukuze ili waongoze milele.
Siku hizi hina sera wala hujuwi kujibu hoja zaidi ya mipasho tuu kama baba yako kikwete.
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Likes
6
Points
135
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 6 135
Twambie hao wanatokea mikoa gani kwa asilimia kubwa.
Mkuu baada ya kuthibitisha kwamba wanaofukuzwa wanatoka kanda zote, morogoro, Mbeya, Mara, singida, Iringa, Kilimanjaro, kigoma, unataka wa kanda gani tena mkuu..hapo udini umefeli sasa unaleta ukanda!
 
KISHINDO

KISHINDO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Messages
1,688
Likes
679
Points
280
KISHINDO

KISHINDO

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2013
1,688 679 280
Big up Cdm.
Ondoa takataka/makapi yote tupa kule men.
 
Forum statistics

Threads 1,273,016
Members 490,242
Posts 30,467,770