Search results

  1. marco polo jr

    Jinsi baba alivyoharibu maisha ya mwanawe kwa kisingizio cha kumlinda

    99%ya Africa ni walozi unaambiwa hizo ni mila hazibadiriki.
  2. marco polo jr

    Nilishindwa kumuoa single mother kwa malezi aliyokua akimpa mwanae

    Nyie single mother munazingua sana munatakiwa mubadilishe huo mtazamo kuwa mtoto ndio kila kitu kwenu mnaharibu sana watoto kwa malezi munayowapa.
  3. marco polo jr

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    haha sio kwa spana hizi pro NATO wakiona hii wanashikwa na tumbo la kuhara wengi hawana hoja watupu kichwani .
  4. marco polo jr

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Niwakumbushe tu Russia hajawahi kuacha op au vita njiani pale Chechnya kapigana miaka 10 1999_2009 mbaka wahuni wakasanda Georgia alikubali yaishe akachia majimbo mawili .Finland alitoa 10%ya ardhi bado huyu Ukraine anajitia mgumu saiz watakuja wenyewe tu mezani .
  5. marco polo jr

    Wizara ya Ulinzi Urusi yatoa saa 24 wanajeshi wa Ukraine waliojificha Azot Plant wajisalimishe

    Wizara ya ulinzi ya urusi imetoa saa 24 kufikia kesho June 15 wanajeshi Wa Ukraine waweke silaha chini na kujisalimisha. Ikumbukwe Hawa wanajeshi wanawashikilia raia 800 katika kiwanda na urusi kashalipua madaraja matatu yaliyokuwa yanaingia severedonetsk. Kujisalimisha kwa wanajeshi Hawa...
  6. marco polo jr

    Kumekucha Iran yalipa kisasi yakamata meli mbili za Ugiriki

    Baada ya ugiriki kukamata meli ya mafuta ya Iran na kumkabidhi USA. Iran imejibu mapigo kwa kukamata meli mbili za ugiriki ambazo zilibeba mafuta katika ghuba ya uajemi. Ugiriki yalaani vikali Iran kukamata meli zake kupitia balozi wake. Source: DW
  7. marco polo jr

    Putin kawashika vibaya! Mabeberu waanza kulialia, UN waingilia kati

    apo Russia anajimegea tu kama alivyoimega Georgia
  8. marco polo jr

    Putin kawashika vibaya! Mabeberu waanza kulialia, UN waingilia kati

    Rais wa Urusi Vladimir Putin kawashika vibaya nchi za Ulaya waanza kulia njaa baada ya Putin kufunga port za usafirishaji wa nafaka. Ikumbukwe Ukraine pamoja na Urusi ni wazalishaji wa kubwa Wa nafaka na Urusi amekataza kuuza nafaka zake pia zile za Ukraine. UN waingilia kati Umoja wa Mataifa...
  9. marco polo jr

    Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

    vijana fanyeni kazi acheni kubishana na vitu ambayvo haviwasadii duniani hakuna haki wapo sahara magharibi wamechukuliwa ardhi yao wanaishii kwenye makambi kuna west Papua,Ukraine, nchi nyingi tu kifupi ukipoteza ardhi kwenye vita huwa hairudi tena hiyo unatakiwa kuichukua kwa vita tena.
  10. marco polo jr

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mji wao Mkuu unaitwa traspol hao walijitenga tokea 92 sema bado hawajatambuliwa kimataifa
  11. marco polo jr

    Bunge la Urusi lamruhusu Rais kupeleka majeshi mahala popote Duniani

    wanaweka vikwazo ambavyo havina madhara mala wamekea vikwazo watu maarufu na bank wanamjua vizuri jamaa haongei sana ni action tuu bado uk kanajiona sana hakajwahi kuvamiwa pale kisiwan kameshikilia Mali za raia wa urusi.
  12. marco polo jr

    My COVID-19 experience, hard times

    aongeee lugha moja ieleweke sio kuchanganya hivyo umewahi kuona mzungu anachanganya lugha kama ni kiswahili atazungumza kiswahili bila kuchanganya sasa mleta mada bado ana kasumba za ukoloni anajiona akizungumza hivyo ataonekana msomi .
  13. marco polo jr

    Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

    bongo nyoso wameshindwa hata kucheki sa au moroko mbona treni zao kisasa😆😆 mchina anakupa kitu kutokana na hela yako wahuni washakata zao %
  14. marco polo jr

    Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

    Ukraine kayataka mwenyewe anadanganywa na hao west kuepusha vita Putin apewe tu hayo maeneo kama walivyompa Hitler sudetenland
  15. marco polo jr

    Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

    tulia ww urusi alikuwa na nato yake kama unafuatilia historia waliasini Warsaw pact ambayo ilivunjika 1991 na walisaini mkataba na nato asijitanue east Europe sasa nato wanakiuka makubaliano unataka Putin awachekee
  16. marco polo jr

    Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

    Acha unafiki wewe ili dunia itulie inahitaji wanaume kama hawa usa kila siku anaharibu maisha ya watu cheki libya , Iraq, Iran, Venezuela na Zimbabwe kwa kuzivamia na kuwekea vikwazo Putin ndo mwanaume pekee anamtisha usa na ili dunia ikae sawa ni lazima kuwe na balance of power.
  17. marco polo jr

    Utaratibu ukoje kwa Mwanamke ambaye hataki kumwachia mtoto aishi na Baba yake na anadai matumizi "Child Support" kwa nguvu?

    Hakuna kitu kama hicho mtt akifikisha miaka 7 ni haki ya baba kumchukua kama hutaki utalea mwenyewe
  18. marco polo jr

    US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

    jamaa yuko vizuri au yule dogo wa asec Karim konate yuko vizuri afu miaka 17 katupia na leo
Back
Top Bottom