Kumekucha Iran yalipa kisasi yakamata meli mbili za Ugiriki

Jino kwa jino..huyu Mwamba mwaka 2019 jeshi la Uingereza lilikamata meli yake Pwani ya Gilbratar na yeye akadaka ya Waingereza. Baada ya vitisho vingi Uingereza wakakubali yaishe wakaichia. Leo Ugiriki nae anajifanya kimbelembele kukamata meli yake!
 
Greece captured 2 russian-flagged tankers at Karystos anchorage (ex Pegas >Lana) carrying iranian oil, and wanted to send that oil to USA, Iranian IRCG captured 2 greek-flagged tankers passing thru iranian territorial waters, as retribution.

NATO unloaded cargo from RU ships.
 
Jino kwa jino..huyu Mwamba mwaka 2019 jeshi la Uingereza lilikamata meli yake Pwani ya Gilbratar na yet akadaka ya Waingereza. Baada ya vitisho vingi Uingereza wakakubali yaishe wakaichia. Leo Ugiriki nae anajifanya kimbelembele kukamata meli yake!
USA nae aliwahi kujichanganya kwa Iran,Cha Moto alikipata.
FTyC9Z4XwAAtAae.jpg
 
Back
Top Bottom