Search results

  1. B

    Ushauri: RC Simiyu, David Kafulila fanya haya kuuendeleza mkoa

    Mkuu Wa Mkoa mheshimiwa Kafulila, kwanza hongera kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, hiyo ni heshima kubwa kwa kuwa wengi walistahili ila wewe neema imekudondokea. Mkuu wangu umepewa jukumu kubwa kuuongoza mkoa huu hasa ikizingatiwa mtangulizi wako alifanya mambo makubwa kwenye sekta za...
  2. B

    Je, wajua majibu unayo wewe?

    Tumsifu yesu Kristu, bwana yesu asifiwe, iweeeeeeeee, asyalemu aleku. Kwanza niwashukuru wadau wote kwa kuendelea kudumisha jukwaa letu la JamiiForums, kweli mnastahili sifa. Ngoja nije kwenye mada je unajua majibu ya maisha yako, yako ndani mwako? Mungu alivyokuumba aliweka majibu ya riziki...
  3. B

    Ushirika Bariadi mna nini?

    Kwa mara nyingine napenda kumpongeza Rais wetu Magufuli kwa jitihada zake kuijenga taifa la Tanzania,maendeleo yalio fanyika kwa miaka takribani mitano hata vipofu wanaona, viziwi 'na viziwi wanasikia, miundombinu imeboreka sana . Sitakuwa 'na fadhila kama sitomshukuru mkuu wa mkoa wa simiyu...
  4. B

    Uchaguzi mgumu sana, nashauri watu wafuate mioyo yao

    Watu wengi wanachanganyikiwa na uchaguzi unaotegemewa kufanyika hivi karibuni,kiukweli Sera huwa ni tamu kila upande has a kwa vyama vya CCM na CHADEMA,unatakiwa ujue kuwa wrote hao wapo kwa ajili ya kupata kitu nasema kupata kitu kikubwa unatakiwa kuangalia moyo wako sio Sera zao pale unapooona...
  5. B

    CWT oneni aiibu

    Baada ya serikali yetu pendwa kushusha kodi kwa watumishi wake wakiwemo waalimu na kuanza kufaidi ni mda sasa chama cha waalimu kutekeleza majukumu yake kwa wanachama kushusha makato mpaka 1%. Tunawapa miezi mitatu kuanzia leo mwezi wa nane, bila hivyo tutaitisha maandamano ya kisheria nchi...
  6. B

    CWT mnatutesa wanachama wenu

    CWT Ni chama ambacho kimeundwa ili kutetea Waalimu wa Tanzania,chama hicho kimekuwa kinajiendesha kwa michango ya Wanachama ya kila mwezi ambayo wanaipata kwenye mishahara ya wanachama. Kwa mda mrefu wanachama wengi wao waliingia sio kwa kujaza fomu Bali walijikuta tu wanakatwa asilimia mbili...
  7. B

    Kwanini COVID19 inaua wanaume wengi!

    Kwa muda mrefu wanasanyi wengi ulimwengu, ingawa sijajua kama wabongo wamo au! Ila kwa ujumla wao wameumiza vichwa vyao kuhusu virus kuwaathiri sana jinsia ya kiume kuliko jinsia ya kike,kutokana na ugonjwa hatari wa covid 19 uliotokea huko Huwan na kuenea kote duniani.imedhibitika kuwa wanaume...
  8. B

    E- learning kwa taasisi za elimu Tanzania

    Wanajamvi habarini za mihangaiko? Najuwa wengi wenu mko vizuri mkiendelea kumuomba mungu na kuchukua tahadhari zote za gonwa hili la Covid 19, tuayaache hayo kwa muda ambapo janga hili limeingia duniani nchi nyingi hasa za dunia ya tatu zimepatwa na taabu sana. Kwenye suala la wanafunzi...
  9. B

    Jema ni lipi jamani

    Kwa mda tokea janga LA covid 19 liingie nchini serikali imechuku hatua mbali mbali kwa ajili ya kupunguza au kuzuia lisienee sana.zifuatazo ni hatua mbali mbali zilizochukuliwa -kuelimisha jamiii mini maaana ya covid 19 -kutoa maelekezo mbali mbali ya kuchukua ili kuepuka madhara zaidi - kuunda...
  10. B

    Karantini ziangaliwe kwa umakini zaidi

    Napenda kuanza mada hii kwa kuishukuru serikali yetu kwa kuanza kuweka watu karantini kiukweli ni jambo kubwa sana kwa kuzuia maambukizo mengine kuenea zaidi. Bariadi secondarily ni miongoni mwa karantin ambazo zimeteuliwa kwa wagonjwa ambao wanahisiwa au kuwekwa kwa Siku 14 ili kuangalia afya...
  11. B

    Nadharia ya COVID19

    Wakati uvumi ukizagaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu virusi vya corona, DW inaangalia baadhi ya nadharia kubwa kabisa za kihistoria zilizoenea wakati wa majanga. Kinyume na kile ambacho huenda utakuwa umekisikia, virusi vipya vya corona havikutengenezwa katika maabara ya kijeshi ya China au...
Back
Top Bottom