Search results

  1. Forforty

    Ni kweli kama ulijiandikisha Mpwapwa siku ya kupiga kura ikakukuta Muheza hautoruhusiwa kupiga kura hata ya kumchagua Rais?

    Habari wana JF, Nimepita mahala nimesikia Watu wakibishana hili jambo kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Wengine wakisema unaruhusiwa kumchagua Rais tu Ila mbunge hautoruhusiwa kwakuwa sio eneo lako la makazi lakini wengine wakisema huruhusiwi kumchagua yeyote kwakuwa namba yako ya...
  2. Forforty

    Naomba ufafanuzi wa tatizo la tumbo kunguruma

    Habari Wana JF, Tumbo langu limekuwa na tabia kunguruma hasa mida ya asubuh napokuwa sijala kitu, kwa ufupi nikwamba lina nguruma ninapokuwa sijaweka chochote tumboni. Mwenye kujua chanzo na ufumbuzi wa hili tafadhali.
  3. Forforty

    Nataka kuishtaki kampuni ya mtandao wa simu nipige pesa nyingi

    Habari wana JF, Kama kichwa kinavyosema hapo juu, Mimi ni mtumiaji wa mtandao mmoja wapo wa simu hapa nchini, kuna wizi wa wazi wa vocha nilishaugundua kwa muda mrefu sana kwenye hizi kampuni zote za sim hapa nchini Ila kwakuwa watanzania tunakawaida ya kupuuzia mambo au kusema "namuachia mungu...
  4. Forforty

    Msaada: Naomba kujuzwa app ya kuangalizia ligi za Ulaya

    Habari wana JF, Naomba kuelekezwa ni app gani naweza download kwa sim yangu ili niweze kuangalia league za ulaya kama EPL/Europa na zinginezo?
  5. Forforty

    Msaada wa wazo la biashara/uwekezaji

    Habari wana JF, Naomba nijikite moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.Mimi ni Mtanzania ila nimekuwa na bahati ya kuwa na connections/kujuana na watu walio ng'ambo (Europe, America na Asia) na kufanya nao baadhi ya kazi. Kwasasa nataka kufanya nao biashara, naomba mawazo yenu aina za...
  6. Forforty

    Msaada: Nina uvimbe kwenye kiganja cha mkono

    Huwa natokewa na uvimbe huo maeneo ya joint ya kiganja cha mkono, huwa unatokea baada ya muda unapotea. Nini tatizo na ni nini muarobaini wake? Tafadhali wanajamvi naomba mnisaidie.
  7. Forforty

    Tigo acheni uhuni

    Salam wadau, Ningependa niende kwenye mada moja kwa moja kwani nahisi kupasuka kwa hasira kwa upumbavu walionifanyia Tigo. Nimekuwa mteja wa mtandao wa Tigo kwa miaka kadhaa sasa, ila nilichokutana nacho kama kitajirudia tena basi itakuwa mwisho wa mimi kutumia mtandao huu. Ni siku ya tatu au...
Back
Top Bottom