Msaada: Nina uvimbe kwenye kiganja cha mkono

Msaada: Nina uvimbe kwenye kiganja cha mkono

Forforty

Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
85
Reaction score
87
Huwa natokewa na uvimbe huo maeneo ya joint ya kiganja cha mkono, huwa unatokea baada ya muda unapotea. Nini tatizo na ni nini muarobaini wake? Tafadhali wanajamvi naomba mnisaidie.

IMG_0184.JPG
 
Huo uvimbe huwa unauma au hauumi?
Muone Daktari!
 
Causes unspecified
Na pia hakina madhara sna,
Ila ukiona disturbance sana unaenda hospital wanakatoa kwa upasuaji mdogo.
 
Causes unspecified
Na pia hakina madhara sna,
Ila ukiona disturbance sana unaenda hospital wanakatoa kwa upasuaji mdogo.
Kwakweli unanikosesha raha, hakuna njia nyingine yoyote zaidi ya upasuaji?
 
Back
Top Bottom