Search results

  1. Rumi96

    Je, ni Rais gani aliyependwa kuliko wote Tanzania?

    Zipo nyumba nyingi watu wamejaza hotuba za Magufuli kwenye flash zao. Vijana wa studio wanapiga pesa kupitia speech za JPM. Mzee alikua MWAMBA SANA.
  2. Rumi96

    Dunia iliishia 1999

    Kuna mtu alikua mvutaji kama wewe. Sahizi anafungiwa ndani analia kama mbwa daily.
  3. Rumi96

    Uzoefu Wangu wa Kunyanduana na Mabinti Walozaliwa Miaka ya 1997-2002

    Kwamba mwanaume rijali unapiga kelele kisa umekatikiwa? Kwa umri wangu mimi nakaribia 30, lakini sina mwanamke aliyenichanganya kunifanya nikose common sense kama mtoa mada. Labda nipate mtu avunjike mgongo. Anyway, "Aina hii ya vijana, ina mchango mdogo sana kwa Taifa." -Jiwe.
  4. Rumi96

    Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

    Kuna wakati huwa natamani kununua pikipiki na kujiapiza nidhamu. Lakini nikihesabu idadi ya rafiki zangu niliowazika kisa bodaboda, hakika nafsi huwa inakataa kabisa. Mungu awapokee.
  5. Rumi96

    UWABATA: Nina 1300 Baby!

    Huyo mwanasheria uchwara anasema "Ahsante Mungu, "" Nashukuru"". Kazi kweli kweli. Hii aina ya vijana, ni ya hovyo kuwahi kutokea.
  6. Rumi96

    Can you crack the password?

    I see, hapo sawa mkuu, shukrani.
  7. Rumi96

    Can you crack the password?

    Mtoe na maelezo jameni
  8. Rumi96

    Can you crack the password?

    Sisi vichwa maji, hatuelewi kitu walahi.
  9. Rumi96

    Demu hataki tutabaruku kwenye mwanga

    Asubuhi yote hii sheikh? Anyway! "Aina hii ya vijana, ina mchango mdogo sana kwa Taifa" -Jiwe.
  10. Rumi96

    Dkt. Janabi na Wanaharakati wa Afya tuache upotoshaji. Nchi ina tatizo kubwa la Utapiamlo na sio uzito wala unene

    Dah, uko sawa mkuu! Nchi hii watu wanapenda ku trend kuliko kutetea watu.
  11. Rumi96

    How is your private parts status

    "Aina hii ya vijana, haina mchango kabisa katika Taifa. "
  12. Rumi96

    Catherine Magige: Luhaga Mpina ni mtu wa ovyo ambaye haamini uongozi wa mwanamke

    Huyo Mpina si ndiyo alivaa t-shirt imeanikwa "Samia Love" Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo. Noma sana.
  13. Rumi96

    Jana nimeenda club kwa mara ya kwanza, nimetoka nduki baada ya kuuziwa maji 4000/=

    I see, ukitafakari hii kauli, unaona kabisa jamaa kawaza vema sana. Deep down hizo pesa watu wanatumia hovyo zina siri kubwa sana. Mkuu, kubali maisha yana level, uzuri uliona uko sehemu isiyoyako, ukaondoka.
  14. Rumi96

    Kiua magugu shambani

    Katafute snowburner inazuia magugu kuota, pia ni selective. Yaani haiunguzi mahindi. Pia ina kama mbolea ndani yake. Bei kwa huku ni 24k kwa chupa ya 1L
  15. Rumi96

    Malawi Yapiga Marufuku Mahindi ya Tanzania & Kenya.Yahofia Ugonjwa wa Lethal Necrosis ambao Hauna Sawa.

    According to Google, ni ugonjwa unaoathiri mahindi yakiwa shambani, yaani yanaliwa na virus huyo.
Back
Top Bottom