Iran now ana kiburi ni sababu ana nuclear tayari ndio maana haogopi tena. nje anasema anaomba aruhusiwe lakini ukweli ni kuwa analo tayari. ndio maana us yuko busy kuhakikisha jambo linaisha kwa amani. sema ndio hvy tena yai lishapasuka. now namuonea huruma zaidi ukraine maana waume zao watahama...
Ina maana hata msemaji wa idf hujamsikia au umeamua kufumba macho. kinchi kimezungukwa na majeshi ya us n uk then kinajigamba kina mifumo ya ulinzi ambayo hata hamas waliingia kwa parachutes😁😁.
akina clintons wanajulikana kwa sex traficking sema wale ni namba kubwa. ndio maana yule bilionea aliefia gerezani....alikiwa mtu wa wao sana. human sex trafficking hasa kwa watoto wadogo ni bizness kubwa sana kwa hawa wakubwa wadunia. hata huyo diddy kuna kitu kawatibua ndio maana wameruka nae...
aliwaogopa na.kuwaonea aibu wenzake. akapeleka hasira kwa wafanyabiashara. huku akiua ajira kibao kwenye hiyo vita yake huku 5years ikipita kavu bila kutoa ajira hata moja.
Scenario tofauti kipindi cha Nyerere nchi ilikuwa na njaa. Na nchi ilikuwa na ukame na tulitoka kwenye vita..... So ilikuwa inevitable.
Lakini hii ya Sasa nchi malori yanapishana mpakani kulisha nchi jirani then waenda kuomba msaada WA Michele?
Kwahiyo Mungu aliangusha ndege kumlipiza CDf [emoji23][emoji23][emoji23] punguza HISIA ndugu.
We tangu lini nchi hii ikafuata katiba 100% mpk ulilie ifuatwe kipindi hiko?
Nchi za kiafrika asilimia 99 ni wasiri kwenye ugonjwa WA kiongozi iwe mdogo au mkubwa... Hata awe na miaka 129 bado...
Nadhani walijaribu au walishafanya research ambayo ilileta majibu chanya so Wazungu ikabidi wazuie mchakato usiendele. Maana DOLA inazunguka kwa mafuta ya SAUDIA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.