Search results

  1. muhubiri mpya

    Polisi wana ugomvi binafsi na chadema au wanatumika kisiasa?

    Habari za wakati huu wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa nikijaribu kuangalia na kutazama mtifuano ambao umekuwa ukijitokeza mara kwa mara baina ya polisi na mahali wanapokuwapo viongozi wa chadema. Tukilejea matukio machache kuanzia maandamano ya wanachadema mwaka 2012 jijini Arusha, uvamizi wa...
  2. muhubiri mpya

    Msaada: Namna ya kupata line ya Tigo Pesa, M-Pesa na Airtel Money?

    Wakuu hapo juu kichwa cha habari chajieleza. Naomba msaada namna ya kupata line mpya kwa ajili ya kufanya biashara. Naomba kuelewa utaratibu upoje, pia kwa mtu anayeuza naomba bei na maelekezo mengine. Asanteni sana.
  3. muhubiri mpya

    Watawala wa Afrika wanazuia viongozi kuwa viongozi

    Naomba nianze kwa kuwasalimu, habari za wakati huu Kwa zaidi ya nusu muongo nimekuwa nikifuatilia mijadala ya huku ndani JF nimekuja kugundua kuwa Taiifa hili na Afrika kwa ujumla tuna hazina kubwa ambayo hatuitumii kabisa Naomba nianze kwa kusema kuna tofauti kubwa ya mtawala na kiongozi...
  4. muhubiri mpya

    Nilichojifunza kupitia kibwagizo cha Upepo wa kisulisuli

    Habari zenu waheshimiwa, naamini munaendelea vyema kabisa, kuna kibwagizo ambacho kimendelea kukamata vilivyo katika utawala wa mitandao ya kijamii kibwagizo cha " Upepo wa Kisulisuli" kupitia kibwagizo hicho nimejifunza vitu vifutavyo: 1.Katika kizazi hiki kuna changamoto kubwa kuwa vijana...
Back
Top Bottom