Search results

  1. ushahd

    Masters degree university of Dar es salaam

    Salaam Wana jamvi, samahani Naomba kuuliza university of Dar es salaam wao hawana intake ya march kwa upande wa masters?
  2. ushahd

    Naomba kufahamu vituo kama vitatu vya CPA kwa hapa Dar es Salaam

    Salaam wana jamvi, Samahani naomba kufahamu vituo kama vitatu vya CPA kwa hapa Dar es Salaam
  3. ushahd

    SECOND BATCH HESLB 27/10/2023

    Salaam wana jamvi kesho ndiyo siku inayotarajiwa board kutoa awamu ya pili samahani wakuu kwa wale waliopata awamu ya kwanza account zenu zilianza kubadilika siku hiyo hiyo walipotangaza? maana naona ujumbe ni ule ule WAIT FOR ALLOCATION PROCESS
  4. ushahd

    IAA Dar es Salaam Campus first year 2023/2024

    Salaam wanajamvi Naomba tujuane first year IAA Dar es salaam campus
  5. ushahd

    Naomba kujuzwa maduka ya jumla ya Computer (Laptop)

    Salaam wanajamvi, Naomba kufahamu maduka ya jumla ya laptop aina mbalimbali kariakoo
  6. ushahd

    Board ya Mkopo (View Application Status)

    Salaam wakuu, Kwa wale walioomba mkopo mwaka huu kuna ambaye ameshapata ujumbe kwenye account yake tofauti na ujumbe huu hapa chini? Your application is already in Verification process, please wait for the next stage.
  7. ushahd

    Field za Computer Science

    Salaam wana jamvi, Samahani naomba kuuliza kwa wale wenye uzoefu na course ya Computer Science. Mashirika ya serikali na binafsi ambapo ni potential kwa mwanafunzi kufanya field.
  8. ushahd

    Information Technology vs Computer Science

    Salaam ndugu zangu, Samahani naomba kuuliza kati ya IT na Computer science ipi course yenye fursa hasa kwa upande wa kujiajiri
  9. ushahd

    Bachelor of arts in project planning management vs bachelor of arts in accounting and finance

    Habari za humu wana jamii forum,samahn kulingana na kichwa cha habari tajwa hapo juu naomba ushauri wenu kati ya hizi course mbili ni ipi ni nzuri zaid kwa upande wa Ajira
  10. ushahd

    Course inayofaa zaidi kati ya hizi tatu

    Habari zenu wana jamii forum,samahan nimechaguliwa katika round ya nne ya application na nimepata vyuo vitatu sijaconfirm naomba ushauri wenu kozi ipi kati ya hizi inaweza kufaa zaidi kwa upande wa ajira 1.Bachelor science in Business communication and information technology chuo MOCU...
  11. ushahd

    BACHELOR OF SCIENCE IN CROP SCIENCE AND TECHNOLOGY

    Habari za Leo wana jamii forum,samahani naombeni ushauri wa hiyo course tajwa hapo juu kwa upande wa mazingira ya kazi na ajira zake,samahn matus nadhan hayajenga naombeni ushauri
  12. ushahd

    Aridhi university Round ya Nne

    Habari za humu ndani wana jamii forum,samahan Nina shida kila nikijaribu kufatilia round ya nne aridhi sipati link,vip walitoa round ya nne wao
  13. ushahd

    Chuo bora cha private kwa aliyesoma CBG combination

    Hellow wana jamii forum,samahn naomba msaada wa kufahamishwa chuo bora cha private ambacho kinatoa faculty kwa aliyesoma CBG,ambacho ada yake si kubwa sana
  14. ushahd

    Ushauri wa faculty kwa Round ya nne ya application

    Habari za Leo wadau,kwanza tunamshukuru Mungu kwa kupatiwa nafasi tena ya kuapply round ya nne kwetu sisi ambao hatujapata nafasi za vyuo,tunawashukuru TCU kwa kulitambua hili nakutupatia nafasi tena,sasa ombi langu ni kwamba mm nimesoma Cbg combination na nilichagua course kama microbiology...
  15. ushahd

    TCU yafungua dirisha la udahili awamu ya nne

    Habari za jion wadau samahn mm nimeomba chuo round ya kwanza mpaka ya tatu sijapata chuo nimesoma Cbg na ufaulu wangu two ya 12 je nauliza kuna uwezekano wa kufungua dirisha kwa awamu ya nne kwa mwaka huu mwenye uzoefu tafadhali ===================================== Tume ya vyuo Vikuu...
  16. ushahd

    Fourth edition guide book

    Wakuu fourth edition guide book walitoa tcu ina maanisha nini wakuu
  17. ushahd

    Msaada kwa selection za udsm na udom third round

    Tafadhali wadau mm niliomba third round na kwenye multiple selection iliyotolewa na tcu Leo simo, na nikijaribu kuingia kwenye account zangu zote udsm na udom bado sijawekewa selection results,ambaye ameshapat selection ktk vyuo hivyo plz anisaidie inform nijue kama tiyar au bado.Ahsante
Back
Top Bottom