BACHELOR OF SCIENCE IN CROP SCIENCE AND TECHNOLOGY

ushahd

Senior Member
Joined
Jul 30, 2019
Posts
176
Reaction score
104
Habari za Leo wana jamii forum,samahani naombeni ushauri wa hiyo course tajwa hapo juu kwa upande wa mazingira ya kazi na ajira zake,samahn matus nadhan hayajenga naombeni ushauri
 
Haina tofauti sana na hortculture ya SUA. nenda kasome.

Ila hakikisha unaanza kuwaza jinsi ya kujiajiri na usije ukamaliza hujui hata kuandaa bistani ya nyanya.
 
University of dar es salaam(UDSM)
Nenda SUA kasome Animal Science and Production au hata Horticulture kama maandalizi ya ya kujiajiri mwenyewe kwa kuwa mfugaji wa kisasa!! Kama unapata mkopo wa serikali, hizo hizo make kidogo kidogo na hadi unamiliza miaka 3, hukosi pesa ya kuanza na angalau kuku 100 wa mayai.
 
Haina tofauti sana na hortculture ya SUA. nenda kasome.

Ila hakikisha unaanza kuwaza jinsi ya kujiajiri na usije ukamaliza hujui hata kuandaa bistani ya nyanya.
Ooh nashukuru
 
Nenda SUA kasome Animal Science and Production au hata Horticulture kama maandalizi ya ya kujiajiri mwenyewe kwa kuwa mfugaji wa kisasa!! Kama unapata mkopo wa serikali, hizo hizo make kidogo kidogo na hadi unamiliza miaka 3, hukosi pesa ya kuanza na angalau kuku 100 wa mayai.
Ahsante kwa ushauri
 
Nenda kasome kozi nzuri hiyo na fursa kubwa ya kujiajiri pia ipo
 
Back
Top Bottom