Bachelor of arts in project planning management vs bachelor of arts in accounting and finance

ushahd

Senior Member
Jul 30, 2019
180
101
Habari za humu wana jamii forum,samahn kulingana na kichwa cha habari tajwa hapo juu naomba ushauri wenu kati ya hizi course mbili ni ipi ni nzuri zaid kwa upande wa Ajira
 
Oooh thanks kwa ushauri ila nimechaguliwa bachelor of arts in Accounting and Finance Mocu
You are "on the right tiraki", vua shati tembea kifua wazi huku unasema " tumejenga viwanda 4000 kila mkoa"!!

Nenda kasome, tena usome na kuelewa...ukimaliza jiunge na CPA classes.

Kila la heri.
 
You are "on the right tiraki", vua shati tembea kifua wazi huku unasema " tumejenga viwanda 4000 kila mkoa"!!

Nenda kasome, tena usome na kuelewa...ukimaliza jiunge na CPA classes.

Kila la heri.
Nakushukur sana kwa ushauri wako CPA inachukua mda gan kumaliza kuisoma
 
Back
Top Bottom