Chuo bora cha private kwa aliyesoma CBG combination

Chuo bora cha private kwa aliyesoma CBG combination

ushahd

Senior Member
Joined
Jul 30, 2019
Posts
176
Reaction score
104
Hellow wana jamii forum,samahn naomba msaada wa kufahamishwa chuo bora cha private ambacho kinatoa faculty kwa aliyesoma CBG,ambacho ada yake si kubwa sana
 
Ndugu FACULTY haiwezi toka chuoni, ni idara hiyo!
 
Tandabui pharmaceutical anapiga diploma bila shida sema ada yake ni ndefu kidogo mdogo wangu nilimpeleka mwaka jana bila shida
 
FACULTY siyo idara ni KITIVO kwa kiswahili, IDARA ni DEPARTMENT kwa kiingereza. Additionally, idara iko ndani ya kitivo.
Kitivo ni idara kuu ambayo ina idara ndogondogo
 
Back
Top Bottom