Search results

  1. Frank255Fx

    Uchaguzi 2020 Membe: Mimi nilitafuta wadhamini kimya kimya kukwepa mtego wa kuvunja kanuni na kuanza kampeni mapema

    Membe ni transplant ya sisiem ! Kachero hawezi kuacha kuwa kachero!
  2. Frank255Fx

    Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

    Aseee we jamaa Mbona kama nakufahamu kabisa mimi hizi biashara nimezifanya sana huko Geita Katoro, masumbwe, kakola , ukisikia sehemu fulani imehila ni mbio unajua umetajirika ukienda unarudi kapa asee ila pole sana tumepitia hayo wengi Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. Frank255Fx

    Meya Issaya Mwita atinga ofisini kuendelea na kazi

    KMLY WEWE Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. Frank255Fx

    Naomba kujua ukweli kuhusu Alliance Global Company

    Slowly, [emoji23][emoji23][emoji23]True Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. Frank255Fx

    Naomba kujua ukweli kuhusu Alliance Global Company

    We jamaa acha uhuni Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. Frank255Fx

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu ushuhuda ni kama wangu kabisa Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. Frank255Fx

    Nahitaji mpenzi/mchumba wa kike

    Najua mkuu nipo tayari naliweza Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. Frank255Fx

    Nahitaji mpenzi/mchumba wa kike

    Rejea kichwa cha Habari hapo Naitwa Frank , huu ni mwaka wangu wa 25 , Nimesoma , Nimeajiriwa Serikalini (Tanzania Defence Force) , Ni mwanaume anayejitambua na muelewa sana, Naweza kummudu mwanamke wa aina yoyote ! Naishi Dar , Nahitaji mwanamke mwenye mwili mwili mzuri, mrembo, Shape Nzuri...
  9. Frank255Fx

    Nisaidie kupata kazi Le Grand Cassino nitakulipa 200000

    Kwani wewe ni undercover au? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Frank255Fx

    Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    Msipende kuomba omba kazi tu mkuu - Unadhani ni kazi rahisi tu ? Okay nenda Ofisi za Afisa Usalama wa wilayani kwako utajuzwa zaidi - lakini mengine yatakayoendelea uwe tayari kuyakabili Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Frank255Fx

    Nauza simu aina ya Infinix smart3

    Ipo kuja Pm chap
  12. Frank255Fx

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Sorry ipo pugu
  13. Frank255Fx

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza infinix mpya na box lake full package ina week moja tu mtaani kutoka shop Hii ni infinix smart 3 plus Model X627 Ram 2 gb Rom 32gb Black color Bei sawa na bure 270,000/- location Pugu-Daresalaam Ni pm chap
  14. Frank255Fx

    Nauza simu aina ya Infinix smart3

    Simu aina ya infinix smart 3 plus Mpya kitu na Box lake kabisa Ina week moja mtaani Ram 2Gb Rom 32Gb Android version 9 Model infinix X627 Location: Pugu ,Daresalaam Bei ni sawa na bure wahi 270,000/=
  15. Frank255Fx

    Natafuta binti( mrembo )wa kubadilishana Mawazo

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1544][emoji1544][emoji1544]
  16. Frank255Fx

    Natafuta binti( mrembo )wa kubadilishana Mawazo

    Matango pori tu unayozungumza; mimi naweza kuwatunza wewe na kijiji chenu chote lifetime [emoji706][emoji706][emoji706]
Back
Top Bottom