Search results

  1. Tzania

    Natafuta soko la kuuza mifugo yangu

    Natafuta connection ya wateja wa bata bukini, bata mzinga, kuku na kanga wa aina yoyote kwa jumla mwenye kujua soko au mahotelin anipe direction tufanye biashara pacent yake itakuwepo Wana jamii forum msaada wenu nina Bei nafuu sana mimi ni mfugaji
  2. Tzania

    Soko la bata bukini

    Ndungu Wana jamii forum nahitataji kujua kwa mwenye kufahamu mm ni mfugaji na nahitaji kufahamu soko la bata bukini nasikia wachina wananunua au kwa mwenye connection ya mahitel Anipatie nami nitampatia some pacent kama kifutajasho kwa Kila bata kuku au kanga au aina yoyo ya mifugo Ani dm
  3. Tzania

    Mawazo mbadala

    Habari zenu wakuu. Natumaini wazima humu wote hebu tusaidiane mawazo wakuu mimi ni muajiriwa takribani 10 years kwa wahindi nimejitahidi nimebana kahela kangu nikafungua kaduka ka chakula kama chenye thamani ya 6,000,000 kana kama 2month Hadi sasa. Kwa mawazo yangu niliitaji kukatia mkataba na...
  4. Tzania

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Unaweza kunipa ushuhuda nani alipitia humo akawa developer Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Tzania

    Strategy za kukuza kidogo kuwa uchumi wa kati

    Wakuu habari za humu ndani wanaharakati wenzangu naombeni mawazo Nina kajipesa kangu kama 10 million nataka nikakuze walau kawe kana kua lengo ni kumiliki ofisi binafsi kwa maana duka sasa sijajua ni biashara gani ambayo inakuza mtaji kwa haraka ili nisije poteza kidogo nilichonacho. Ili baada...
  6. Tzania

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wakuu habari za humu ndani? Poleni na majukumu na heri za mwaka mpya 2020. Awali ya yote Mtanzania mwenzenu ndugu yenu ninaomba msaada wa kimawazo ya biashara kwa kuwa nahitaji kubadili 8 million iwe billion, changamoto ni kwamba biashara gani inaweza kubadilisha hiyo pesa ndani ya muda mfupi...
  7. Tzania

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Unaptikana wapi mkuu kwa dare esalaam office yenu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Tzania

    Biashara mtandaoni

    Yes mkuu
  9. Tzania

    Biashara hulia popote ulipo

    OK ndiyo naandaa so kama utataka contact nicheki 0678180202 utanisaidia sana nitashukuru sana
  10. Tzania

    Biashara hulia popote ulipo

    Napatikana ilala Ila nimeweka contact hapo tunaweza wasiliana WhatsApp au call me ni natural oil
  11. Tzania

    Biashara hulia popote ulipo

    Habari za saa hii wakuu. Leo nina jipya kwa wale wajasirimali wenzangu na wazalendo wa hii platform mwanajamii mwenzenu ndugu yenu nahitaji msaada wenu wa kibiashara. Nauza mafuta ya mawese na mafuta ya kokwa za mawese ambayo yana grade ya juu natafuta soko kwa wale wanaofahamu masoko ya hii...
  12. Tzania

    Biashara mtandaoni

    Yeah
  13. Tzania

    Biashara mtandaoni

    Wakuu kwanza habari zenu natafuta sub dealer wa biashara wa kuniunganisha na oda kubwa kwenye makampuni na madukani. Nina shop Dar es Salaam Kariakoo ya tools & hardware mix wa huduma za mikoani na ndani ya Dar es Salaam. Commission itakuwepo kwa mwenye kufanya hiyo kazi na tuna bei elekezi...
  14. Tzania

    Afya na ukuaji wa mtoto genius

    Nataka awe creative thinker mwepesi wa kuelewa mambo mkuu
  15. Tzania

    Afya na ukuaji wa mtoto genius

    Wakuu nahitaji kulisha ubongo wa kabinti kangu ambako kana takribani miaka mitano ila nahitaji kawe genius school na nyumbani pia. Hebu nipeni muongozo kwa wataalamu wa haya mambo vyakula gani ambavyo vinamjenga kiakili mtoto na shule ipi bora ambayo itamjenga huyu binti katika misingi ya lugha...
  16. Tzania

    Naomba kufahamishwa juu ya biashara ya matofali

    Kimara kubwa mkuu nipe muongozo sahihi
  17. Tzania

    Naomba kufahamishwa juu ya biashara ya matofali

    Wakuu nina omba kwa wenye experience na biashara ya ufyatuaji wa matofali kuanzia stage one hadi profit. Kwa kua naipenda hiyo biashara sijui mchanganuo wa hiyo biashara na profit yake. Naomba uchanganuzi wa kina kwa mwenye ufahamu . Nipo Daresalaam, na maeneo yapi ni rafiki kwa biashara...
  18. Tzania

    Natafuta mwalimu yuko vizuri kiufundishaji

    Dare salaam buguruni
  19. Tzania

    Natafuta mwalimu yuko vizuri kiufundishaji

    Unamaanisha nn Mimi boy
Back
Top Bottom