Search results

  1. kombati

    Toothless TAKUKURU: Uchaguzi UVCCM watawaliwa na rushwa na vurugu

    chaguzi za CCM na rushwa ni kama mapacha.. hawawezi kutengana ..mmoja hata kuwa na raha au kufa kabisaaaaaaaaaa
  2. kombati

    CHADEMA yasitisha oparesheni M4C na kuitisha kikao cha Kamati Kuu

    tendwa hana ubavu wa kukifuta CDM ila anachoweza ni kuendelea kuimba korasi za taarabu za CCm
  3. kombati

    Kifo cha mwandishi wa Channel Ten: Kauli za Polisi na mwitikio wa Wanahabari

    Hata wajaribu kuuficha vipi huu ukweli hawataweza..kuficha huu ukweli ni sawa na kumficha tembo ndani ya starlet..serikali ione aibu isidhani wasomi wote ni mambumbu na walafi wa pesa kama walivyo wasomi wao..wengi tu ni wazalendo...polisi wamemuua mwangosi
  4. kombati

    matangazo katika blog

    msaada kwa yeyote anayeweza kunipa maelekezo namna ambavyo nitaweza. 1..kutengeneza matangazo na kuyaweka katika blog yangu 2..kupata sponsors katika blog yangu
  5. kombati

    tuache kuwapigia kura wasanii

    kwa muda mrefu sana watanzania tumekuwa na utamaduni wa kuwapigia kura wagombea ambao huongozana na wasanii katika kampeni zao...tumepigia kura burudani za TOT chini ya komba na khadija kopa, TMK wanaume Family, Bushoke, Marlaw, Dimond..nk..ushauri wangu...2015..tupigie kura sera na umaridadi na...
  6. kombati

    Ofisi ya spika tabora vipi?

    raisi kikwete amesahau kuwa alkwenda kufungua jengo la ofisi ya spika urambo tabora kwa samweli sitta, akabariki jamaa apigwe chini, sasa lile jengo alilolifungua wameamua kufanyia shughulu gani pamoja na ukweli kuwa kuna milioni kama mia tatu za walipa kodi zilipigwa katika ujenzi wa jengo la...
  7. kombati

    Natamani Dr. Slaa aje aniambie haya!

    watajichimbia chini hawa wala nchi maana hawataweza kuhimili hasira za wananchi ambazo mpaka sasa zimeshaanza kuvuja
  8. kombati

    Nape, nini kauli yako kama msemaji wa CCM kuhusu wanachama wenu waliosaini petition ya kumng'oa PM?

    tarumbeta haiamui ilie kwa kiwango bali ni nguvu za mpulizaji ndizo huamua, likipulizwa sana litatoa sauti kuuuuubwaa
  9. kombati

    Siri ya kuvunja baraza la mawaziri yafichuka kumbe JK ndo alikuwa ang'olewe

    wabunge wana uwezo wa kumuwajibisha waziri mkuu peke yake na wala sio raisi, raisi kachaguliwa na wananchi, they cant just decide to vote a vote of no confindence to the president in the situation like that
  10. kombati

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    kushinda na kushindwa kwa chadema katika kesi za kupinga uchaguzi wa wabunge mbalimbali hakuna hasara yeyote kwa chadema bali kwa ccm kwa maana kila kesi inafuatiliwa na kuvuta hisia za wananchi wengi hivyo wanaelewa nini ccm wanafanya, zaidi ya yote wanatengeneza sumu ya kuiramba wao wenyeyewe
  11. kombati

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    kupeleka askari wengi ni ishara tosha kuwa wamejiandaa kunyang'anya haki
  12. kombati

    Mh. Tundu lissu anena kabla ya hukumu asubuhi hii

    kila wanachodani CCM kuwa wakifanya kitawaokoa ni njia ya kujipeleka kaburini wao wenyewe, kupinga ubunge wa wabunge wa CHADEMA ambao mpaka sasa wamwshakubalika kwa asilimia 100 kwa watanzania ni kujipotezea wakati bureee..hata wakimvua ubunge LISU bado CHADEMA ktashinda majimbo yote wanayohisi...
  13. kombati

    OLE Millya aondoka na sh milioni mbili za UVCCM

    peas wamekusanya tangu mwaka 2008 mpaka leo ni miaka minne na waliuwa kimya. wamengoja nini mpaka aondoke?? waache unafiki
  14. kombati

    Kwa washauri wa JK tu...

    Tangu nimeanza kuijua na kuifuatilia siasa ya Tanzania na tangu nimemjua japo kidogo JAKAYA KIKWETE,haya ni baadhi ya maswali ambayo ningependa ayajibu kiukweli na kiuhalisia wala sio kisiasa. Ayajibu kama binadamu anayetambua kuwa kuna binadamu wengine wanaotaabika sababu ya tabasamu lake na...
  15. kombati

    Kuna mipango iliyosukwa Lema akigombea ubunge kuenguliwa na tume!

    mfa maji haishi kutapa tapa....watajuuta
  16. kombati

    Unafiki wa wazi wa hawa watu...

    hawa jamaa ni hatari sana na wanaendelea kuaminiwa na nwtanzania wasiojua ni nini wanafanya...bado najiuliza ofisi ya spika ya urambo iliyogharaim takribani milion 300 inafanya kazi gani sasa....:thinking:
  17. kombati

    Wana CCM walio katika vyuo vya juu

    kingunge yupo, msekwa yupo, lusinde snr yupo, makinda yupo n.k hawataki kubadlika wanaojua asili ya chama kuwa sio hii wanayotumikia sembuse wasiojua na wanaosukumwa na utumwa wa fikra??:shock:
  18. kombati

    Laana kubwa imeikumba CCM nzima kwa dhuluma kubwa kwa watu masikini -Umemuona Bi.Mwajuma Ramadhani?

    Azimio la arusha ni moja ya vitu ambavyo huwa vinanifanya niwaone ni wendawazimu watu wanamsema vibaya mwalimu kuhusu mapungufu yake, kwani pamoja na kuwa binadamu lazima awe na mapungufu lakin huwez kumfananisha hata kidogo na haya majizi yetu ambayo yalikaa kisiri sir na kuliua azimio la arusha.
  19. kombati

    Nitawezaje kuboresha blog yangu? naomba msaada

    nimeshaianzisha, audience ni rika zote, afu ni habari mchanganyiko, not too much unieque..nashukuru kwa ushauri
  20. kombati

    Nitawezaje kuboresha blog yangu? naomba msaada

    Ninaomba kupewa msaada juu ya jinsi gani naweza kuboresha blog yangu katika nyajna hzi 1. Kupata sponsors. 2. Kuboresha muonekano wa picha. 3. Kujua jinsi ya kupata matangazo ya kibiashara na gharama zake.
Back
Top Bottom