Nitawezaje kuboresha blog yangu? naomba msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitawezaje kuboresha blog yangu? naomba msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kombati, Jan 17, 2012.

 1. kombati

  kombati Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ninaomba kupewa msaada juu ya jinsi gani naweza kuboresha blog yangu katika nyajna hzi

  1. Kupata sponsors.
  2. Kuboresha muonekano wa picha.
  3. Kujua jinsi ya kupata matangazo ya kibiashara na gharama zake.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  -Inahusika na nini? Nini audience yako - umri, jinsi, lifestyle
  -Umeshaianzisha au unapanga kuianzisha? (hujaweka link ndo maana nahoji)
  -Kwanini unafikiri blogu yako ni unique? Ina nini spesheli hadi kupelekea kupata traffic kubwa?

  Jibu hayo maswali, tengenza kitu fresh afu piga promo
   
 3. kombati

  kombati Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nimeshaianzisha, audience ni rika zote, afu ni habari mchanganyiko, not too much unieque..nashukuru kwa ushauri
   
 4. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mbona una-limit uwezo wako? Sasa kama hutai kuifanya unique unataka sponsors wa nini?

  Do not limit what you can do! Put all heart and soul into it, show that you wanted and meant it.
   
 5. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  wakuu mpaka sasa sijaona kumsaidia mwenzetu zaidi naona yeye ndio amekuwa wa kujibu maswali tu !! dah jf haikuwa hivyo mwanzo
   
 6. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Bahati mbaya tunatumia fake id hivyo inakua ngumu kwako kuitaja blog yako hapa na watu wanashindwa kukushauri.
  Mi ni mtembeleaji wa blog labda kidogo nikushauri...

  Jitahidi kuwa current,yani kila siku tuwe tunasoma kitu kipya...

  Pia jitahidi kuwa na network na source tofauti ili habari zako ziwe mpya ikiwezekana ndani ya muda mfupi sana tukio likitokea unakua umelirusha.

  Usijiweke upande mmoja zaidi labda mkoa au mji fulani,jitahidi kukatata countrywide... (gharama kidogo) yaani kama upo Arusha jitahidi upate na matukio ya maeneo mengine kama lindi,katavi shinyanga na kwingine.

  Pia kwa kua audience yako ni rika zote jitahidi kukamata kote.

  La ziada muonekano wa blog yako uwe na mvuto na rahisi mtembeleaji kupata anachokitafuta.
   
 7. S

  Smarty JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  if u want ur blog to be popular(seriousness is needed here ..) just try to collect all the nafasi za kazi kutoka sources mbalimbali( wengi wamefanya hivi)..ila unaweza kutafuta jinsi utakavokuwa unique na uhakika wa kuwaunganisha wanaotafuta kazi na waajiri..sio tu kuweka matangazo tu..

  Ajira is aserious problem among youths in tz so most watataka kuona ni jinsi gani utawalink na waajiri..
  Usitangulize maslahi piga mzigo kwanza then pesa itakufuata ulipokaa..
   
 8. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa wewe mbona huja saidia? unalalama nini? si toa suluhu la haja ya mwenzako kama unayo?
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Lini?

  Join Date : 8th November 2011

  Posts : 177

  Rep Power : 343
   
 10. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa napita tu,kuwasalimu.
   
 11. Chachasteven

  Chachasteven JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2015
  Joined: Jul 4, 2014
  Messages: 718
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  Nina blog ambayo niliitengeneza kwenye simu! blog hiyo n www.mokiri.blogspot.com ambayo nataka kuikuza but naombeni ushauri jinsi ya kuikuza!
   
Loading...