Search results

  1. T

    Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

    Hapumzike kwa amani, katuachia funzo kubwa sana
  2. T

    Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

    Asnte kwa simulia kipande cha maisha yako, ningependa fahamu location ya filamu itakuwa nchi gani, Mwenyazi Mungu hakupe wepesi kwakila hali unapitia hivi sasa. Natamani pia kuona mwisho wa filamu isiwe kifo. Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
  3. T

    Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

    Ata umri wake umeshindwa kuweka Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
  4. T

    Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Unamaanisha huyu flora wa hapa njia panda anayeuza hardware
  5. T

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Man unataka kuijua code ameficha
  6. T

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Je vipi kama huyo mzee naye anajua uko na mahusiano na accountant, na vipi kama huyo mzee anajuana na huyo mama wa kampuni unafanya kazi na mpango wote wanaujua ndio mana kakupa likizo, ili uingie kwenye mtihani
  7. T

    Wasambaza picha za ngono, wanaojiuza mitandaoni, waliojifanya mawakala wa Freemason wakamatwa

    Hao vijana wa ifakara ni wadogo sana , afu wanatembea kwa makundi wanajiita halo halo mwaka juzi nilipishana nao ifakara, walikuwa wako wazi sana sijui kwann mamlaka imechelewa kuwakamata
  8. T

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nipeleke kwenye hii simulizi
  9. T

    Nyumba ya Jackline Mengi yakumbwa na mafuriko

    Boss niajiri ata house boy, kuwapeleka watoto shule na kuwafanya usafi [emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. T

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Ngoja na mimi nisake mchumba nimevumilia umri wangu 28 , mwanamke mzuri na msafi aje pm tuyajenge, umri kuanzia 45 kushuka chini
  11. T

    Mama Kijijini kaniambia haya. Sikuyajua mwanzo

    Mbona hujasema kidini unafanya vipi na pia kienyeji unafanya vipi
  12. T

    Mnipe mishe za kuingiza kipato Morogoro

    Maisha sio rahisi, na pia Hawa vijana msiwabeze, kwa kusema mnawasaidia afu wanakuwa sio wavumilivu, ukweli ni kwamba vipawa vinatofautiana, pia malezi na mazingira, kama unaweza kumuajiri mwajiri, kama uwezi usimbeze
  13. T

    Jakaya Kikwete: Mkapa hakupenda sifa (populism)

    Mkapa was loyal to his country
  14. T

    Wakaka wamekuaje tena?

    Mwanamke akililia ndoa kimbia usigeuke nyuma, mwanamke akitoa hela yake afu baada ya siku mbili anaanza kununa pasi sababu kimbia huyo ni V8 injini kubwa atakukomba Kila kitu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. T

    Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

    Wana siasa tofauti na watu wengine ule mshipa wa aibu Huwa haupo wakiamua kukutema, yule mwarabu wa kilosa haelewi kabisa japo CCM naye Sent using Jamii Forums mobile app
  16. T

    Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

    Sawa mheshimiwa paramagamba tumekusikia sasa Tangaza nia Sent using Jamii Forums mobile app
  17. T

    Mauaji ya Kimara: Mstari katikati ya upendo, hisia na kujali

    Mmh Sent using Jamii Forums mobile app
  18. T

    Kiongozi anapohamasisha ongezeko la bei ya vyakula, anaelewa Madhara yake?

    Mwaka jana yenyewe gunia la Mahindi lilipanda sana ilifika laki na ishirini na saba mpaka thelathini lakini Kuna watu walikuwa na mizigo ya maana ndani na hawakuuza, na namba ilikaa juu kwa mwezi mmoja tu ikashuka, hii nchi ya asali na maziwa, tuko sehemu salama sana brother Sent using Jamii...
Back
Top Bottom