Search results

  1. M

    Fixing unit IR 2800/ 3300

    Duka gani wanauza bei hyo mkuu ili niweze pata? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  2. M

    Fixing unit IR 2800/ 3300

    HAbari wanajukwaa, ninaomba nisaidiwe fixing unit ya Canon IR 2800/ 3300, yangu imekufa subthermistor.
  3. M

    Help with linux!

    WHAT SHOULD I DO WITH THIS ERROR? Error mounting /dev/sda5 at /media/ubuntu/8a61c682-0b0d-4279-9908-ad86c77437f5: Command-line `mount -t "ext4" -o "uhelper=udisks2,nodev,nosuid" "/dev/sda5" "/media/ubuntu/8a61c682-0b0d-4279-9908-ad86c77437f5"' exited with non-zero exit status 32: mount: wrong...
  4. M

    Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

    mtoto mwenyewe miaka 14, form 1, afu watu na miaka yao ya kobe eri wanaandamana eti kiasi cha mtoto ambaye haja funguka kiakili mnataka kumuua, tuache kuishi maisha ya kuiga tuishi mafundisho na madili ya dini zetu, naamini hakuna dini inayohalalisha kifo.... am out.
  5. M

    tiGO & Fiesta: Huu ni wizi usiovumilika

    tuseme ww ndio wameona unasalio la kupunguziwa kila cku au? Kama ni kweli na hayo malalamiko yako tambua nchi ishauzwa cku nying, kila mwny nacho ashajikatia pande lake, sasa kila mtu anakula urefu wa kamba zake bahati mbaya kwao na nzuri kwetu kwamba mwsho wao ushaanza kunukia. Hata hizo huduma...
  6. M

    TCRA tuelezeni wateja wa M-Pesa/Tigopesa wanapofariki warithi wanapataje haki zao?

    cku hizi wanashauri kutoweka namba ya siri cku ya kuzaliwa, hivyo mlifanya kubahatisha sasa na tech. hii hapo inakuwa vigumu kuuusoma mshiko! Ndio hivyo inawezekana ndio akawa amekwenda nao moja kwa zote!
  7. M

    Hembu Mnukuu GodBless Lema Hapa!

    naona ww ni mmoja wa wale ambao hawajui na hawataki kujua kwa jina zuri tunawaita wap.......vu! Haufikiri na hautaki kufikiria, una mawazo mgando bado, amka kumeshakucha ............. (LOL)
  8. M

    External hardisk seftup

    Vp wana JF, nina external harddisk 1TB nimeshindwa kuifanyia setup kwenye window, inaonekana lakini kufunguka mbinde. Nisaidieni kwa hilo, aina ya External ni Goflex
  9. M

    Kwa akina dada

    Naomba niwaulize dada zangu hivi ni vitu gani hamvipendi kwa akina kaka?
  10. M

    Kila unachogusa/kushika Tanzania kinanukia fedha!

    Habarini wana JF! Poleni na miangaiko ya hapa na pale katika kujenga taifa letu hili la Tanzania. Wana mie hiki kitu kimekuwa kikiniuma kiasi hata natamani hawa viongozi walio/ wanaosababisha Tanzania yetu izidi kuzama kwenye umasikini na maisha yetu kuzidi kuwa ngumu niwapige r...
  11. M

    Hellow

    u are welcome hata mimi ni mgeni hapa JF
  12. M

    stranger

    Wat's up people? Am a new member in this syt! all i need is your cooperation. Single love!!!!!!......................
Back
Top Bottom