Kila unachogusa/kushika Tanzania kinanukia fedha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila unachogusa/kushika Tanzania kinanukia fedha!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mc Poul, Nov 6, 2011.

 1. M

  Mc Poul Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Habarini wana JF!
  Poleni na miangaiko ya hapa na pale katika kujenga taifa letu hili la Tanzania.
  Wana mie hiki kitu kimekuwa kikiniuma kiasi hata natamani hawa viongozi walio/ wanaosababisha Tanzania yetu izidi kuzama kwenye umasikini na maisha yetu kuzidi kuwa ngumu niwapige r............... mmoja baada ya mwingine.
  Kikubwa ni hiki, Tanzania yetu imezungukwa na madini chungu nzima na kama tungeweza kuyatumia vizuri haya madini yetu tusingehangaika kwenye kilimo maana thamani ya madini yaliyoko kwenye ardhi yetu yanatosheleza kututunza.
  Mifano mizuri ni hii ya matumizi mabaya ya rasilimali madini, makampuni ya madini yoyote baada ya mikataba wanapewa leseni za utafiti wa madini kwa muda wa miaka minne (max yrs) na baada ya hapo wanaruhusiwa (renew) kuanzia miaka mitatu mpaka miaka mwaka mmoja na kama mwekezaji akifanya hivyo utakuta anafanya utafiti kwa miaka 10 hapo hata kama kuna mali wanauza na wanapata pesa na wala Serikali haisemi chochote, na baada ya kufanya utafiti eti wanaandikiwa mikataba ambayo ina kegezo kimoja wapo ni kwamba wachimbe bila kulipa kodi mpaka eti warudishe mtaji wa kuanzia (initial capita) sasa wana kwa namna hii cwatasema hawajarudisha huo mtaji mwishowe utakuta wanaacha mashimo.
  Jamani tufikirie kuhusu jambo hili na tuchukue hatua, hatua mojawapo ni kushiriki katika mchakato wa kuunda katiba mpya maana moja ya mambo haya yapo kwenye katiba (mining policy 2010)

  Ni hayo tu.
   
 2. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  that ma boy joseph haule.
  Keep it up
   
Loading...