Search results

  1. M

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko ya Makatibu Wakuu wa Wizara

    kwa mara ya kwanza tunashuhudia uteuzi usiokuwa na harufu ya udini . . .
  2. M

    Kosa la ponda ni lipi?

    umewahi kujiuliza kama wewe umeyafanya yote hayo unayotaka ponda afanye? kama wewe ni mtu safi usiye na hila kwa nini umeficha/ hujafanya hayo yote na hata jina lako umeficha hapa jf?
  3. M

    Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

    ushaambiwa ni mambo ya autonomic nervous system ambayo ni kitu cha kawaida kutokea katika hali kama hiyo na haijalishi uko kwenye baridi ama joto, mechanism is the same. kwa maana hiyo hali kama hiyo ya majasho kama ulivyosema isipotokea ujue kuna shida na inabidi upate ushauri wa kitaalamu.
  4. M

    Swala la waislamu kuchinja ni la kisheria au ni ustaaarabu tu?

    na wewe great thinker? kama huna point kuwa mtazamaji tu kama sisi, siyo lazima uchangie kwanza unaharibu thread na lugha ya taifa, kaajila ndo nini sasa. ombi kwa mods; jaribuni kupitia michango ya baadhi ya watu ikibainika yupo kwa ajili ya kuharibu threads au anatoa points zisizo na mashiko...
  5. M

    Natafuta mchumba/mume

    mi powa japo sina TEMBOCARDMASRECARD.......
  6. M

    Hamad Rashid aomba radhi...

    kwahiyo yeye alivyodai kuwa atagombea uraisi 2015 hakujua hiyo katiba ama hajui umri wake?
  7. M

    Hamad Rashid aomba radhi...

    kuna nini ktk siasa za bongo? prof safari alivyotangaza nia ya kugombea uenyekiti tunajua yalomkuta' zitto alivyotangaza kugombea uraisi tunakumbuka pia sakata lake mpaka sasa chamani kafulila pia mwelekeo ni kama huo, hamadi rashidi ukatibu imekuwa nongwa, ccm wajisemee wenyewe, na wengine...
  8. M

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    dawa ni kufuta ruzuku kwa vyama vyote vya siasa ili vitafute namna ya kujiendesha vyenyewe na ndo tutapata wapinzani wa kweli. . . maana naona wengi wapo kimaslahi zaidi . . .
  9. M

    Vita vya Kagera: Nini chanzo? Kulikuwa na ulazima?

    tuambie sasa wewe unachojua kuhusu hiyo vita na usituletee story za iddi amini kula nyama za watu...
  10. M

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    both pombe na nguruwe ni haramu ktk uislam
  11. M

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    1. maziwa ya nguruwe, ama 2.mwekee flagyl (metronidazole), ama 3. kuna underlying problem like schizophrenia or epilepsy wit psychotic features. mpeleke mirembe au muhimbili au mawenzi kwa madakitati wa vichaa . . .
  12. M

    Kwanini JK hakubaliki ndani ya EAC?

    na ndo hoja ya thread yako na bora umejidhihirisha baada ya kukosa utetezi katika uzi wako. jaribu kuangalia madhara yake kitaifa zaidi na uweke dini pembeni ndo utaona ugumu unaokuja katika suala la ardhi pamoja na ukristu wako. sidhani kama hao wakenya, uganda na rwanda wanafikra mgando za...
  13. M

    January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    dah! nani sasa aliye mwadilifu bongo? maana kuna ufadhili toka kwa sabodo, christian democratic na leo barrick.
  14. M

    Airtel huu ni wizi Tsh2.60/sec?

    siyo airtel tu mkuu, mi niliweka sh 3000 voda na niliongea dakika kumi tu voda kwenda voda salio likasoma zero. mpaka sasa nimeweka line ya voda pembeni kwa hasira niliyonayo. hawa jamaa naona wameamua kutuibia sasa kwa makusudi kabisa
  15. M

    eti 'HAKUNAGA'..

    nyimbo itachangia......... au wimbo utachangia...............!??, kazi kwelikweli
  16. M

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    siyo kweli kwamba hospitali ya muheza wanatoa huduma bure nina uhakika coz i have been there. nenda hata kcmc uliza hata bei ya CT scn kama huja-opt kufa. naona mnajaribu kupoteza maana, topical anataka uhalali wa hayo malipo nyie mnarukaruka tu. .
  17. M

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    kwani suala la mahakama ya kadhi liliwekwa mwaka gani katika ilani ya ccm?
  18. M

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    hawawezi kujibu maswali haya lakini pia usichoke kuwauliza mkuu
Back
Top Bottom