Airtel huu ni wizi Tsh2.60/sec?

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
TCRA wako wapi? Wanafanya nini? Ewura ikowapi? Na wanafanya nini? Ninani wa kutusaidia wateja kutokana na wizi huu? Walitangaza Tsh1/sec lakini sasa ukipiga simu ni Tsh2.60/sec jamani tunakwenda wapi?
 
siyo airtel tu mkuu, mi niliweka sh 3000 voda na niliongea dakika kumi tu voda kwenda voda salio likasoma zero. mpaka sasa nimeweka line ya voda pembeni kwa hasira niliyonayo. hawa jamaa naona wameamua kutuibia sasa kwa makusudi kabisa
 
Mitandao yote sasa ni wizi,wanapandisha gharama za kupiga simu bila kutoa taarifa,je tra mkowapi je mnalipwa kodi kwa ongezeko hilo?au nyie mmekaa kuwakamua waganga njaa wanyonge wa nchi hii wenye vibiashara vidogovidogo ambavyo havimpatii hata mlo wasiku? Tcra kaziyenu nini?ama nchi hii ni shamba la bibi kila mtu anavuna apendavyo bila kubugudhiwa.
 
Ilianza Tigo..wakafuata Voda na Sasa Airtel!!
Naona hii wiki watu wanaipigia campaign Zantel sana. Sijui kuna agenda gani.
 
Ilianza Tigo..wakafuata Voda na Sasa Airtel!!
Naona hii wiki watu wanaipigia campaign Zantel sana. Sijui kuna agenda gani.
Si agenda ya kumpendelea yeyote mkuu, haya makampuni ya simu yanatukamua kweli. Si kampuni moja, no wote, nadhani wamekubaliana
 
Wameongeza gharama bila kutangaza wakati gharama zikipunguzwa kutwa wanatangaza!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom