Search results

  1. josewatano

    Serikali watu wenye akili Sana Kama Mshana Jr, Bams, Robert Heriel kwanini msiwatumie wakaipeleka nchi Mbele?

    Mshana jr, hivi bado yupo uyu member, anasimulizi zake za nguvu za giza matata sana
  2. josewatano

    Watoto watakuwa salama wapi iwapo wanafanyiwa ukatili wa kingono na Walimu, Viongozi wa dini na Madereva wa mabasi ya shule?

    Tuombe mwisho mwema kwani suala la malezi limekuwa changamoto sana dunia ya leo
  3. josewatano

    Singida: Watu wafukiwa na kifusi kwenye machimbo ya Sekenke One

    Mungu awanusuru na umauti majeruhi na awape nguvu wahanga wote.
  4. josewatano

    Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

    Haaaa haaaa ndio akizeeka anakuwa malaika
  5. josewatano

    Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

    mjadaala huu bado upo dah ebu tupate maoni mengine ya wadau
  6. josewatano

    msaada: ana degree ya BAED anataka kufanya masters ya Sociology

    Habari zenu wadau, mdau ana degree ya kwanza ya Bachelor of art with Education, specilized in linguistics and kiswahili, kaishafanya kazi mwaka wa tano huu sasa anataka kwenda kufanya masters ya sociology, je atakuwa kachanganya mafile au hakuna tatizo kitaluma Karibuni kwa ushauri.
  7. josewatano

    Hatua za kufuata ili pombe yangu ikubaliwe na serikali

    habari kiongozi za Siku nyingi nimeurudia huu uzi I'll nikamilishe ndoto yangu y'all Suki nyingi
  8. josewatano

    Tutumie Nguvu za giza zinaweza kuwatambua waliompiga Lissu risasi.

    Ebu fanya mambo bwana hao watuhumiwa tuwakute barabarani wakiwa tupu wanacheza viduku
  9. josewatano

    Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

    mada moto moto haaaa haaa leo niingia Jf kujikumbushia enzi zangu
  10. josewatano

    Wanawake wanapenda kudanganywa au kuambiwa ukweli?

    Huo ndio ukweli wanawake wanapenda kudanganywa
  11. josewatano

    Mwenzetu katuma sms anaenda kujiua-mkwawa university

    sasa mtihani kuwa mgumu ndiyo ajiue dah naunga mkono kauli ya mdau hapo juu kuwa conseling is deed at higher learning institution maana watoto hawajitambui akisikia sap anahisi kifo
  12. josewatano

    Tunawezaje kumsaidia kijana (vijana) kama huyu!!!!"

    arudie mtihani tu aende wapi sasa kama hawezi rudia mtihani akawe mjasiliamlia over
  13. josewatano

    Wataamu wa kiswahili saidia hapa tafadhali

    kujua ni vitendo katika jambo mnasema pratrical wakati kuhafamu ni theory mfano unapokuwa darasan nakufundisha jinsi na kuvua samaki basi ile hali ya mimi kukufundisha na wewe kuelewa kwa kujibu maswali unakuwa umefahamu na nikikupa ndoano au nyavu ukaenda kuvua kwa kufuata jinsi...
  14. josewatano

    Mauzauza ya bodi ya mikopo tanzania

    acha tu boss wewe mwezi watu tangu mwaka wa masomo uanze hawajapata kitu story zao zile zile
  15. josewatano

    Nina mpenzi nisiyemfahamu kwa sura!

    nikuambie kitu huyo dada hana muonekano wa mvuto so anajihisi ni mbaya kwaiyo vuta subila utamuona tu ila kiukweli kimuonekano wa sura atakuwa si mzuri sana kama unapenda muonekano wa sura basi hakuna mke hapo
  16. josewatano

    Mtoto wa Dkt. Salmin, Amin Salmin amkana 'ndugu jambazi' Kassim Ramadhan Juma (27)

    mtu anayelala na mama yako utamwitaje jibu baba sasa tatizo wapi salmin ni baba yake sema si mazazi over
Back
Top Bottom