Search results

  1. D

    Programmers na marketers wanahitajika

    Za mida wadau, hii ni kwa watu ambao wapo vizuri kwenye kutengeneza websites pamoja na mobile apps, kwa upande wa pili kama kuna watu wanajua marketing vizuri nawakalibisha, naomba inbox namba yako ya simu na uwezo wako
  2. D

    Msaada/Utata kuhusu kibali cha ujenzi maeno ya Kigamboni

    Za mida wakuu, nimekua napata sana utata kuhusu Vibali vya ujenzi na bei zake, kama kuna mtu anafaham Naomba msaada hususani maeneo ya Kigamboni. Wtu wanasema bei ambazo sizielewi.
  3. D

    Ukweli umepinduliwa, na uongo umeibuka kwa kasi ya 6G na ukiwa na wafuwasi wengi kupindukia

    Wakuu za mida, Heri ya sikukuu ingawa wengi wetu tupo ndani. Dunia inaenda kwa kasi ya 6G till inatia huruma na wasiwasi. Mayuda tumekua wengi na tukipata support ya kutosha isiyo ya kawaida. Wakina Petro wanapingwa kwa mawe na matusi ya kutosha.... Inafika wakati hata JF mtu anaandika...
  4. D

    Kama unataka kufanikiwa ondoka nyumbani kwenu

    Mafanikio hayaji sehemu uliyozoea, Mafanikio sio tabia za kila siku, Mafanikio sio watu walewale kila siku, Mafanikio ayachekei mtu, Mafanikio ni ujasiri hata kama mbele unaona giza nene. Mafanikio ni maamuzi magumu ambayo mda mwingine inakubidi ukosane na watu wakaribu sana na muhimu katika...
  5. D

    Msaada: Ukweli kuhusu ndoto

    Eti ni kweli kumuota mtu inatokana na yeye kukumisi ama?
  6. D

    Natafuta fundi

    Za mchana waungwana.... Fundi wa ujenzi.....kwa ajili ya kupigilia mbao za two by two....kwa maandalizi ya gypsum...au ceiling board.... Vifaa vipo ila budget imebana kidogo.... Kwa alie teali/ anaemfaham fundi aje pm. Thank you in advance. Njoo na bei zako. Location: Dar es Salaam
  7. D

    Hivi ni wanawake wa mkoa gani wana nywele nzuri, ndefu na Zenye afya na ni kwanini ??

    Habarini wandugu Ningependa kujua ni wanawake wa mikoa au mkoa gani wana manywele hatari.... “Nywele ni kofia ya mwanamke”
  8. D

    Binadam bhana!

    Kuna mambo ya kufurahisha kama sio kusikitisha...eti mtu anatoka uko aliko ajui ili wala lile, ajui wapi mmeanza na wapi mmemaliza anaingia tu kwenye mambo yasiomuhusu......inafurahisha na kusikitisha... Jamani tuwe tunajifunza...tukiingia kwenye familia za watu tuwe wastaraabu mambo yakutaka...
  9. D

    Vituko vya kwenye Daladala

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii ni thread special kwa vituko vya daladala Leo bhana.... Yale maeneo ya Gongo la mboto..gari ya posta mnazi ikawa imefika....kwakeli nashukuru nilipanda mwanzoni...
  10. D

    Natamani maisha ya shule ya msingi na sekondari yangekua kama ya chuo na kazini

    Za mida wakuu.... Kama kichwa kisemavyo..... Sikuwai kupenda maisha ya shule ya msingi na secondary... Kwasababu... 1.Fimbo...kiukweli nilikua sipendi fimbo 2.Njaa kali...mda mwingi nilikua sishibi...hata nikila namna gani. 3.Kuulizwa matokeo kila wakati...Yani hii ilikua inaniboa balaa....afu...
  11. D

    How I almost secured a job in 10 minutes !!!

    Yes..... Kama heading yangu inavyosema..... I blv kama imekua possible Kwangu why not to you.... Napenda ku network.....napenda kujisurround na watu ambao wamenizidi kwenye kila kitu......napenda kujitoa akili ili nipate nacho kiitaji....kwa njia halali lakini.... Mandeleo sio majengo....sio...
  12. D

    Biashara ambazo mtu unaweza fanya Hata kama upo kazini...au chuo.....bila kupoteza mda wa Masomo ama kazi.

    1. Blogging..... Kuna watu duniani wanatengeneza million 200...to billions kwa kuandika tu kwenye mtandao..... Na uwezi jua till ujaribu.... ebu changamkia fursa.... Ukute upo ofisini unajaza nafazi nawakati ulitakiwa uwe nje unaongeza fursa kwa wengine. Kama unahitaji maelezo zaidi kuhusu...
  13. D

    Start a petrol station

    To start a petrol station you need a capital of 450 million tz shillings to 500 million tz shillings. And you make a profit of 1M and more just selling 5000 liters a day.....assume you in a busy environment...you would probably sell more. So dear local investors ni mda wa kuvunja kibubu. Grab...
  14. D

    Tabia za watu waliozaliwa Novemba 22 - Disemba 21

    Positive These people are optimistic and always look at the brighter side of things. This helps them to give their best even in difficult situations. Straight Forward They will speak the brutal truth, and they always mean what they say. Their comments can, however, sometimes be too harsh and...
  15. D

    Kuna mambo yanafurahisha kama sio kusikitisha

    “Matajiri wataishi kama mashetani” “Nikimaliza uongozi wangu nataka kuwe na mabilionea zaidi ya mia”
  16. D

    Wasaidieni wazazi wenu mpate baraka za bure zenye kuleta mafanikio bila chenga

    Za jioni wadau...kama kichwa cha habari husika..... Nina ushuuda na hilo.... Mama yangu ni mama wa nyumbani...waliachana na Mzee mda.... Na kwa kua mama yangu ni mama wa nyumbani, hakua na kipato cha uhakika.... Kipindi wanatengana mimi na mdogo wangu tulikua wadogo sana.....mahakama...
  17. D

    Tulio lelewa na wazazi wa kambo ebu tushare experiences zetu kidogo

    Kwa upande wangu nimeishi na mama wa kufikia...... Kiukweli changamoto ilikua kubwa......mama alikua mchonganishi na mnafiki balaa......... Ilifika kipindi nilitoroka nyumbani nkaenda kuishi kusikojulikana...... Yule mama [emoji17] Acha tu! Ila namwombea mema.....siku Moja atakuja kuelewa...
  18. D

    Ni kitu gani cha ajabu/ kinachofurahisha kinacho kufanya uendelee kumpenda mpenz wako ulie nae ??

    Za mwanzo wa weekend wakuu!!! Maisha ni watu na watu ni maisha..... Haya tushare pamoja mambo yanayotufanya tufurahie watu wetu wa karibu kabisa tulio nao..... Tuanze weekend fresh!!! Binafsi nampenda sana mpenzi wangu kwasababu ana kaushamba fulani hivi.... Mara nyingi nikiona status zake...
  19. D

    Mwenye shida yoyote ya computer/mtandao/kazi za office kutumia Microsoft word/excel au power point!karibu pm.

    Za mida wakuu!! Nafanya na kufundisha 1.kazi zote za Microsoft 2.Kazi zote za excel 3.Kazi zote PowerPoint 4.Kama unahitaji email natengeneza 5.Kazi yoyote ya matandao....kujaza fomu yoyote mtandaoni 6.Nafundisha computer kwa watoto na wakubwa wote 7. Pia kama unahitaji kufungua kampuni...
  20. D

    Machache niliyojifunza kwenye haya maisha

    Kwenye maisha kuna mengi ya kujifunza. Ebu tushare kidogo mambo ambayo umejifunza. Nikianzia na mimi. 1. Akuna rafiki mwaminifu kama mama.. Atakukubali jinsi ulivyo na kukupenda hivyo hivyo. 2.Tafuta mtu wa kumpenda ambae atakupenda pia ukiachana na wazazi. Mtu ambae mnaweza ongea ujinga...
Back
Top Bottom