Mkuu mi na mawazo tofauti kidogo.
Kama hiyo nyumba imezungukwa kila sehemu, basi vunja hiyo nyumba halafu patengeneze kuwe sehemu ya kupumzikia / zile playground za watoto.
Najua majirani hao hawakosi watoto, kwahiyo watapenda tu kuja kupoteza mda hapo na utakuwa unawachaji hela ndogo tu...
Mimi walinitafuta wakanitumia 15,000.
Wakashusha commission kutoka 1000 hadi 500 kisa sikufanya hiyo task yao ya prepaid (Ya kutuma hela).
Nikawaambia basi wanikopeshe 50,000 ili niiweke kwao, na nikipata faida nitawarudishia hela yao, mpaka leo hawajanijibu.
Mi ninavyoona ukikutana na hawa...
Nimekuelewa, utaziweka kwa mda mrefu.
Ila kwanini usifanye hivi;
Hiyo amount ambayo unapanga kuirejesha benki kila mwezi kwa miaka tisa, badala ya kuchukua mkopo na uipeleke benki, basi kila mwezi iweke UTT, naamini ukifanya hivyo ndani ya hiyo miaka 9, hela yako ya UTT inaweza kufika zaidi ya...
Mkuu, kwa nilivyokuelewa hiyo 400K ni rejesho ya riba, Je rejesho lote (riba + deni) kwa mwezi itakuwa kiasi gani?
Umesema unataka kuweka UTT, kwa uelewa wangu ukiweka UTT hiyo 50M mfuko wa bond, kwa mwezi utapata ~430K.
Je hiyo faidia ya mwezi kutoka UTT itaweza kulipa rejesho lote la mwezi...
Habari za leo wakuu.
Nimejaribu kutafuta hiyo television kwenye maduka mbalimbali kwa Dar es Salaam na sijafanikiwa.
Nyingi ambazo nimeziona ni LG QNED80, ila ninahitaji model ya namba 85.
Imenibidi kuulizia humu nadhani nitapata mwongozo.
Mkuu, pia jaribu kuangalia unataka kufanya programming kwenye field gani, mfano Web development, mobile applications, Machine Learning / data science, desktop applications developemt au hardware programming.
Baada ya hapo katika hiyo field angalia lugha ambayo ina trend kwenye kupata support na...
Kwa mimi sijawahi itumia nje ya Dar es Salaam.
Ila pindi nilivyopata Router, nilisikia kuna nyingine zilikuwa zinatumwa mikoani. Na ninaimini zitafanya kazi hata mikoani kwani router ina support hata 4G.
Wasiliana na Vodacom, watakupa maelezo ya kufanya na kuna mkataba utapewa, utaupitia na...
mdhalendo
Mimi natumia hii huduma na so far naona ipo vizuri. Ninakaribia miezi miwili na mtandao ulisumbua kama mara mbili, ila badda ya mda mfupi tatizo liliisha.
Kuna vitu inabidi ufanye, kwenye hiyo Fast Mile router kuna taa pale juu zipo tatu, kama haziwaki nenda kwenye settings na...
Ni kweli kwa sasa MB ni gharama sana, ila ukiwa na kompyuta au hizi simu za smartphones mara nyingi unapowasha kifaa chako kuna services / applications mbalimbali huwa zinafanya kazi chini kwa chini na kutumia internet ili ziweze kupata taarifa za kukupatia mfano: WhatsApp notification.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.