Search results

  1. T

    Utajiri wa kibegi unavyopukutisha vijana mikoa ya Kusini

    Hahaa unakimbilia kwa mwamposa wakati mwenzako kapokea faili lako kwamba umekula hela zao unazo wakati ujui kwa haohao wanajuana wataanda mkakati wa kukumaliza
  2. T

    Dream League Soccer 2020 special thread

    Hilo la mwaka gani unacheza mkuu
  3. T

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu tupia code mi nakukubali mzee. Wa basketball Mkuu unistue ukitupia code kwe basketball uko vizuri mwamba
  4. T

    Msaada was frec za itv haya mafidh makubwa

    Dh Shurkan mkuu ntajaribu nikishindwa naacha waje mafundi wengine.tatizo la huku mafundi hatupendani mtu akijua ataki kumweleza mwenzake
  5. T

    Msaada was frec za itv haya mafidh makubwa

    Ta Najua ni magumu mi huwaga. Nafungaga ila. Tatizo huwaga wanabadishisha sana frec yaa. Namba na satilati na maranyingi wanayo. Tumia haya madish huwa ni. Wazee ukiwaanga wanunue ving,muzi wamekuwa. Wagumu
  6. T

    Msaada was frec za itv haya mafidh makubwa

    Madish makubwa ys zamani
  7. T

    Msaada was frec za itv haya mafidh makubwa

    Frec ni number za kuingiza kwenye dekoda
  8. T

    Msaada was frec za itv haya mafidh makubwa

    Wakuu Mimi fundi madish sasa apa kwa jirani ana dish lake haya ya zamani madish makubwa nlikuwa naomba msaada.kwa anayefahamu frec za itv maana naangaika signal. Sipati kuna watu wameniambia wamebadilisha frec
  9. T

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wewe una sisi ni mabingwa wa ulaya mara mbili wewe una washwawashwa Nini?kenge blue bahari
  10. T

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Acha ukenge we sisi tunakusajili hata ww imradi kombe tuna chukua💙💙💙
  11. T

    Muda mzuri wa kulala ni saa nne usiku

    Mimi mbn nimeaka saa7au wewe muongo
  12. T

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tuna wakelaaa nyinyi takataka na bado London is blue😂😂😂 halafu semeni tena Kai tumepigwa 😂😂😂
  13. T

    Mke wangu hajarudi hadi sasa hivi

    Ndo tatizo la kuowa watoto
  14. T

    Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

    Yaa wewe kaka Mimi aisee tuko wengi
  15. T

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    We arsenyeto jiandae kesho kipigo ha kikwepeki
  16. T

    Msaada: TV ya TCL inazima screen na kubaki audio tu

    Tv yako inaweza kua Ni taa za ndani zime kufa wepeleka kwa fundi tuu mkuu
  17. T

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Haya arsenyeto leo mnaenda kwa mme wenu kugongwa tena 3 kama kawaida yenu nyie
Back
Top Bottom