Donald Trump anaendelea kuongoza kura za maoni, lakini nje maRepublican wanajifanya hawamtaki, ukweli he is representing the majority of Republicans and US at large,
Same kwa izi threads za udini hapa jf, wanaochangia wanaonesha yaliyomo mioyoni mwao ila hata ukisalimiana naye wakati anapost...
Ooohh may be i was wrong kusema kaschana, in fact ameniudhi mpaka nikakaita ivyo, she is a graduate na she is 23 by age, she is feeling guilty right now coz hata kununua inginehawezi, so na me najitia ukabwela na ndo njia ya kumpiga chini coz hamna mawasiliano akitaka awe akitoka kazini anakuja...
habari za wadau wa fikra oevu,
Nna kaschana kangu bhana tulianza uhusiano c kitambo sana, sasa jana wakati tukiwa ndanj tunastorisha nikawa nimechukua simu yangu naupdate dp na dm za whatsup, nikawa dp nimemweka mama yangu mzazi wakati naandika dm kwamba nimekumiss sasa dear mama ila nikawa...
Smile unaongea uzuri saaaana, lakini kuna vitu unaover look
Hapa dar es salaam siku izi gari co Luxurious Good rather necessity other wise hali iwe mbaya sana, Jaalia mfano huu:- nimepigana kwa mikopo ya salaries mpaka nimenunua kiwanja na kujenga Mbezi Msumi au Tabata Kinyerezi au Salasala...
hii ni kasumba ya watu waliopata vitu ambavyo hawakuwa na uhakika kama wangevipata, basi tumia iko tittle yako kuikomboa jamii inayokuzunguka...... mmmmmmmmmmmhhhhhhhhh wapi kuishia tu kutukuzana na elimu ya kwenye makaratasi, halisi haiwezi.
mfano, jamaa anajiita His Excelency Dr ...
Marytina please be my gal, achana na huyo Jamaa ako yupo ubelgij anaamini iko siku atatoka, na utaona atakavyokuja kuhustle akirudi bongo maana anadhani kwa vile yupo mbele ndo atakuja kupata kazi ya kumpa izo hela, there is no good life to employees in poor economy unless you misbehave,
Piga...
Anatafutwa mtu kujaza nafasi tajwa hapo juu, atafanya kazi mikoa tofauti na kituo cha kazi ni dar, awe na uzoefu walau miaka miwili kwenye usimamizi wa miradi.
Awe amesoma Elimu ya chuo Kikuu ngazi ya shahada kwenye maswala ya kijamii (social work) au soshologia (sociology) and afya ya jamii...
TAHILISO, namshukuru Mungu sina connection tena na hii taasisi, i graduate a year back,
PAUL MAKONDA mwanzilishi wa CCJ leo amehamia tahiliso, duhhhhhhh yaan huyu jamaa ni kilaza cjapata ona halafu lazma ana watu wanamback coz hapo MUCCoBS jamaa kashadisco saaaaaaaaana tu halafu still anasoma I...
Me huwa mara nyingi kama co zote humu huwa mpitaji tu, ila kwa hili nimsaidie mwenzangu coz wanaume wote ni ndugu ndo maana mkewe anakuita shemeji.
Kitu cha kwanza jamaa ana matatizo makubwa sana ya tumbo, kuna tatizo linasababishwa na kujaa kinyesi kwny utumbo mkubwa hiyo inasababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.