Habari za muda huu wakuu,
rejea mada tajwa hapo juu
Natamani kuona vijana wa
kitanzania wakipiga hatua kiuchumi mwaka huu wa 2020.
Kama utahitaji njoo pm au nitext kwa namba yangu wasap nimebandika hapo juu
Yeyote anaetaka kuwa huru kiuchumi karibuni.
NB:Sihitaji watu wasiokuwa serious na...
Pole dada,, lakini usiwe na hasira kiasi hicho...japokuwa umeumizwa sana
kosa la mume wako alaf wewe unataka kujiua faida yake nini sasa na mbaya zaidi na mtoto.
Mwambie Mungu atajibu maana yeye ndiye anaelipa kisasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha tatizo uoga mkuu,,bongo kuna wahitimu wengi wa vyuo vikuu lakini sio wasomi
fikra zetu ni kuajiriwa tu ndio tatizo liko hapo
kuna jamaa angu alikuw mhandisi Tanroads mshahara 1m per month kaacha kaz serikalini kajiajiri
kuna mwingine alikuw mhandisi wa madini Barrick buzwagi kahama...
Huo ni unyanyasaji na udharilishaji wa wanawake
Yani huwezi kumsaidia mpaka akuvulie chupi.
Wanaume tubadilike
hizi ni akili za kitoto
alaf unapoomba kitu huwa sio lazima ukubaliwe ombi lako
mpaka amekuja kuomba msaada kwako ina maana wewe ni mtu muhimu kwake
wewe msaidie tu kama binadamu...
Utaolewa tu dada coz kila mtu ni tofauti sana hapa duniani.
shetani anajitahidi sana kuwachafua wadada wengi waonekane hawana sifa za kujenga familia wakati ni wake wazuri kabisa wa kuoa
i mean kuna wadada wanatumika kutenda matendo mabaya yanayowachafulia sifa hata wadada wazuri(wife materials)...
Umefafanua vizuri sana mkuu,,chanzo cha ubinafsi ni dhambi na kwa bahati mbaya sana wanadamu tulianza kuwa wabinafsi tu baada ya kupungukiwa na utukufu wa Mungu
Ndoa nyingi sana leo hii ambazo mwanaume au mwanamke akiwa ni mbinafsi zinateseka sana na wakati mwingine zinafikia hatua ya kutalakia...
Yap!kinachofanya mtu aonekane amekua sio tu idadi ya miaka aliyonayo bali ni badiliko la fikra na mitazamo ya maisha katika uhalisia
hata maandiko ya biblia yako wazi kabisa kila jambo lina wakati wake
kuna wakati vitu fulani fulani inabidi tuvitupe kule na ku focus future zaidi
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.