Search results

  1. mistari4G

    Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

    Mkuu em ingia YouTube check hii McCain,Lindsey Graham and Amy Klobochur in Ukraine Hv watu ni wageni sana wa US,kwani US ndo msafi wa hii dunia? Zelensky anatumika tuu
  2. mistari4G

    Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

    McCain akiwa Ukraine
  3. mistari4G

    Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

    Kikubwa tunaona kama Zelensky anapigana Lkn ni pressure kubwa anayoipata to kwa Marekani Marekani ndo mpango mzima na waliipanga hata kabla Mccain hajafariki Hapo ni timing inatafutwa Mrusi si Afghanistan,Zelensky yuko mtu kati anatumika na hana ujanja hata kiduchu Ipo video Mccain na kiongozi...
  4. mistari4G

    Picha za Satelite zaonesha harakati za kijeshi nchini Urusi

    Ss mbona we ndo povu la kishabiki linakutoka
  5. mistari4G

    Ushauri: Nioe yupi Kati ya hawa wanawake wawili?

    Usuri kwenye maswala ya kujenga familia na mahusiano sisi ndo huwa tunajipeleka njia haram na ya miba
  6. mistari4G

    Huyu ni aina ya mwanamke ambae ninaweza kumuhonga milioni na kuendelea

    Hata kwenye ukoloni utaturudisha kwa ushamba wako
  7. mistari4G

    Nani aliamuru jengo la bunge Dodoma kujengwa uswahilini

    Tuonyeshe Estate unayoishi ili tujibu kwa viwango vyako
  8. mistari4G

    Huenda hiki alichokitabiri msanii Chid Benz kwa Makonda kikatimia?

    Atasema ye anaitwa Daudi Bashite
  9. mistari4G

    Nilichogundua watu wa ukanda ziwa Victoria ni wapole sana, hawana makuu na hawajui majungu

    Kwenye Tz hii mkuu umetusogeza wapi ww? Umetumia lugha kali sana kwa hili kabila,ni vyema uwaheshimu na utu wao Sie sote ni waTz ila lugha tunazotumia utadhani ni wanaharakati wa ubaguzi wa kiNazi Ni vyema kama umeelimika tumia taaluma yako kuwanyanyua unaosimama nao Kwenye bendera 1 Chuki...
  10. mistari4G

    Je, nyumba zisizo na umeme zimesamehewa kodi ya jengo?

    Kwa mwezi naweka umeme wa buku 10 Kama ni buku katika 5000 Kwa mwaka watakula 20000 Sasa nyumba za kupanda wengi ambao matumizi yako juu itakua shughuli
  11. mistari4G

    Mbatia achachamaa, ahoji Deni la Taifa limefikaje Tsh 71 trilioni? Ataka Serikali iombe radhi

    Wash brain Magu aliiweza Ingekua vita ya jihad,wapelestina wangetusubiri
  12. mistari4G

    Godbless Lema aazimia kuondoa kazi za Diamond YouTube/Facebook

    Katika matamasha ya CCM walikua wanamuziki wengi sana Diamond naamini ana kesi maalum lkn hawamuandami sababu ni kada Wapo waliohitaji ajitoe kwao kwa kile kinachooneahwa kuwa waliumizwa na wanaCCM lkn hakuonyesha hata nia Sasa ni wakati wa wao kumuonyesha kila 1 anamhitaji mwenzie kwa nyakati...
  13. mistari4G

    Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

    Kweli Ni bora usiungane nao kwenye page zao Watakuchelewesha
Back
Top Bottom