Search results

  1. Victor Chilambo

    Tatizo la board ya mikopo Helsb

    Kwa mwenye kujua namna ya utatuzi katika mfumo huu mpya wa bodi ya mikopo Helsb yaan kila niki attach file kwenye Guarantor id card in pdf form ina leta mrejesho wa Invalid file type naombeni msaada
  2. Victor Chilambo

    Msaada kuhusu Kidney renal cyst

    Nilikua nasumbuliwa na tumbo ambalo nilidhani ni tumbo la kawaida, kwani lilikua limewai kuniuma mara kadhaa apo nyuma sana . Kwa kipindi hiki likaja na maumivu makali zaidi ambayo hua naya sikia upande wa kulia maeneo ya tumboo.nilikwenda hospital ilioko mwanza itwayo butimba ndipo baada ya...
  3. Victor Chilambo

    Unskilled labour(anatafuta kazi ana miaka 22 alianza kazi ya kuhudumia ng'ombe).

    Kijana wa miaka 22 niko nae hapa hana elimu lakin anajua kusoma na kuandika ila hakumaliza darasa la saba kutokana na familly problem, alikua anafanya kazi nyumbani mjini mwanza ya kuhudumia ng'ombe kwa mshahara wa elfu55 lakini kwa bahati mbaya kwa sasa ufugaji nyumbani umesitishwa. ni mchapa...
  4. Victor Chilambo

    Nimemaliza Kidato cha nne 2018 lakini matokeo si haba nimekutana na kikwazo naombeni msaada

    Nilikua na mpango wa kusoma kombi zenye Physics lakini matokeo yamekuja vibaya kwa hili naombeni msaada Matokeo yangu ni Phys-F, Civ-D, Chem-D, Math-C, Bio-C, Geo-C, Hist-C, Eng-C, Kisw-C. Chochote kilicho bora kwangu ndo chaguo
  5. Victor Chilambo

    Nimemaliza kidato cha nne 2018 naitaji msaada

    Naombeni msaada kombi gani nisome advanc "nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018 najiandaa kuingia kidato cha tano lakin nashindwa kufanya chaguo la combi"matokeo yangu ni Hist-C,,Geo-C,,Kisw-C,,Eng-C,,Bio-C,,Math-C,,Civ-D,,Chem-D,,Phy-F Mpango wangu ulikua kusomea kombi zenye physics lakin...
Back
Top Bottom