Search results

  1. MATTBOY

    Pambanua ndoto, maono na ulimwengu wa roho

    Nimekuelewa mtumishi
  2. MATTBOY

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu humu hakuna anayetumia 1xbet?
  3. MATTBOY

    Ugonjwa wa thyroid

    Asante sana mkuu
  4. MATTBOY

    Ugonjwa wa thyroid

    Habari zenu wakubwa na wataalam wa afya. Nisaidieni hapa, niko kwenye mahusiano na binti mwenye huu ugonjwa wa thyroid na tayari uvimbe imeonekana shingoni kwa pande zote mbili, sasa nimekuwa nikimuuliza yale anayoambiwa akienda hosipitali lakini amekuwa muongomuongo, ananiambia anaambiwa...
  5. MATTBOY

    Muhtasari wa elimu ya Maombi, Dua na Sala kwa Mtu Binafsi, na Familia

    Asante mkuu. Elimu nzuri sana. Nimejifunza kitu
  6. MATTBOY

    Unaweza kuingia Uganda, Rwanda bila passport kutoka Tanzania?

    Kenya unaingia bila kitu chochote. Bora tu uwe na 1000ksh ya kuhonga dereva ili usisumbuliwe njia. Na ukishaingia nairobi utatembea kila mahali bila shida
  7. MATTBOY

    Mtaji wa million 5 naweza kufanya biashara gani Arusha?

    Unaongelea ushuru au bei ya kusafirisha kwa gari
  8. MATTBOY

    Mtaji wa million 5 naweza kufanya biashara gani Arusha?

    Niko Nairobi nchini kenya mkuu. Fanya uchunguzi kati ya biashara ya kuuza viatu, nguo, tv, sabufa au simu. Yenye utaipenda hapo uniambie nikutafutie chimbo za vitu za bei rahisi uwe unakujia hapa na ukienda kuuza utapata faida kubwa sana.
  9. MATTBOY

    Wapi napata mashine za kutengeneza mifuko ya paper bags kwa hapa Dar

    Mkuu ulipata? kama laa nicheki coz nafanya kazi kwa factory ya kutengeneza hizo paper bags
  10. MATTBOY

    INAUZWA Kwa wapenzi wa Unyunyu mkali/ Perfumes

    kwa sisi Wakenya tutapataje huku kenya
  11. MATTBOY

    SoC01 Ukitaka kupiga hatua katika maisha lazima uwe sugu na mwenye msimamo

    Maneno yenye nguvu sana. Umenitia nguvu sana ya kuendelea kazini maana napitia changamoto ya chuki kazini baada ya kupandishwa cheo. Na anayenipiga vita ni mzee tu wa miaka 50+. Aisee wanadamu sijui wako na shida gani, wakiona tu mtu amepandishwa cheo basi vita inaanza mara moja.
  12. MATTBOY

    Umewahi kula kitu gani ambacho hukuwahi kufikiria pale njaa ilipokukamata kisawa sawa

    Nakumbuka niliwahi kufukua mbegu ya mahindi ardhini nikayala ikiwa mbichi sababu ya njaa kali niliyokuwa nayo. Njaa sio mchezo hadi magamba ya puani nilikuwa natoa nakula sababu ya njaa.
  13. MATTBOY

    FT: Simba SC 3 - 0 Red Arrows kombe la shirikisho barani Afrika

    Ungewekeza hiyo utabiri wako sasahivi ungeshapata mzigo
  14. MATTBOY

    Natafuta binti wa kazi za nyumbani

    Ng'ombe wewe
Back
Top Bottom