Search results

  1. itagata

    Boss wangu amemtolea mahari mwanamke mwingine; naumia sana

    Kama sijakosea kwenye uzi wako wa kwanza, wewe ndio ulimpenda na ukamwambia kuwa unampenda na akakujibu kuwa yupo kwenye mahusiano na anatarajia kufunga ndoa! Ukamjibu kuwa upo okay kwa hiyo hali na hutaharibu mahusiano yake! Sasa kelele za nini? Uliyataka mwenyewe!
  2. itagata

    Nimedondoka kwenye penzi zito na bosi wangu

    Hahahaaaa! Mwamba kajilia vyake halaf kaanza vitimbwi!
  3. itagata

    Mwalimu wa Primary anahitajika

    Cheki PM mkuu
  4. itagata

    Mwalimu wa Primary anahitajika

    Hahahaaaaa! Ni sahihi mkuu
  5. itagata

    Mwalimu wa Primary anahitajika

    Yupo ana uzoefu zaidi ya miaka 15
  6. itagata

    Msaada juu ya Taratibu za kuanzisha Chuo

    Habari wana JF! Nina mpango wa kutimiza ndoto yangu ya muda mrefu ya kuanzisha chuo kitakachokuwa kinatoa course kwa ngazi ya Cheti na Diploma kwenye fani za Kilimo, Mifugo na maendeleo ya jamii mkoani Singida. Naomba ushauri kutoka kwa Wana JF wowote wenye kujua utaratibu ukoje ambao unaweza...
  7. itagata

    Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Ukweli huyu jamaa huwa anafikiria mbali sana!
  8. itagata

    1kz-te engine inauzwa

    Kwema kaka? ulishafanya biashara hii kitu au bado ipo?
  9. itagata

    EBay testimonial...!!!

    Uliagiza nn? Na vp kodi umetozwa? Maana mie niliambiwa kuwa ukiagiza vitu nje ya nchi unatozwa kodi kubwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. itagata

    Nahitaji Incubator haraka

    Asante
  11. itagata

    Nahitaji Incubator haraka

    Asante nawapigia naona hawapokei
  12. itagata

    Nahitaji Incubator haraka

    :mad:
  13. itagata

    Nahitaji Incubator haraka

    Samahani ni Mayai 140-180
  14. itagata

    Nahitaji Incubator haraka

    Habari za leo wana JF, Ninahitaji incubators zenye uwezo wa kuchukua mayai kati ya 140-180, kwa yeyote mwenye nazo naomba aje PM ili tuwasiliane ili tufanye biashara. Asante.
  15. itagata

    Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Hii ya Ethiopia sijaielewa maana nilikuwa huko mwaka juzi na niliomba visa! Hii imeanza lini?
  16. itagata

    Msaada - Jinsi ya kulipia akaunti ya Gmail

    Asante sana kwa ushauri wako, binafsi sihitaji Visa card ambayo imeunganishwa na account yangu, nilitaka kupata ya BancABC kwa sababu ntakuwa najaza pesa pekee na nafanya manunuzi na si kupitia account yangu ya Benki ambayo benki zingine zinafanya hivyo.
  17. itagata

    Msaada - Jinsi ya kulipia akaunti ya Gmail

    Binafsi sikufanikiwa kabisa kupata maana niko mkoani na huku hakuna tawi la Banc ABC ambao ndio wanatoa hizo kadi
  18. itagata

    Pata vifaa vya electronic TV, music, fridges nk free delivery payment on delivery

    Ok. Naweza kuvipata wapi kaka kwa uzoefu wako hapa mjini? Pia hapo kwako inch 49 zinapatikana kwa bei gani?
Back
Top Bottom