WASILIANA NA HAWA 0672754013Habari za leo wana JF,
Ninahitaji incubators zenye uwezo wa kuchukua mayai kati ya 140-180, kwa yeyote mwenye nazo naomba aje PM ili tuwasiliane ili tufanye biashara.
Asante.
ANDIKA MESEJIAsante nawapigia naona hawapokei