Search results

  1. Emmet

    Je, mlalamikaji anahaki ya kuanzisha kesi upya katika ofisi ya kata ilihali kesi ilishafika mahakama ya Wilaya?

    Habarini za wakati huu waungwana! Naomba kujuzwa kenye mambo ya migogoro ya ardhi je mlalamikaji anahaki yakuanzisha kesi upya katika ofisi za kata ya serikali za mitaa, ilihali kesi ilisha fika mahakama ya wilaya zaidi ya miaka kumi na sita iliyopita na hakuendelea nayo mpaka mwisho je leo...
  2. Emmet

    Msaada: Package gani itanifaa katika biashara ya kuingiza movies/series (library)?

    Habari za muda huu wadau, naombeni mawazo ni package gani kati ya hizi mnanishauri nichukue itanifaa kwenye biashara yangu hii mpya ya library ambayo inahitaji huduma ya Internet ili nidownload movies na series! Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
  3. Emmet

    Jina la hiki kitambaa cha kichwani

    Habari za mda huu naomba kujuzwa jina la hivi vitambaa amabyo black Americans wengi wanapendelea kuviaaa na kwahapa dar ntavipatia wapi na vinauzwa shingapi.
  4. Emmet

    Sipati haja kubwa bila tumbo kuniuma kidogo

    Msaa wa ushauri na maoni wadau ni zaidi ya week sasa kila wakati ninapo taka kupata haja kubwa tumbo linanikata kidogo na huwa napata choo kilaini sana. Shida inaweza kua nini wanazengo?
  5. Emmet

    Green card/ dv lottery interview

    Habari za wakati huu waungwana especially Travelers and Hustlers amabo waliamua au wameamua kwenda kuanzisha maisha mapya kwenye ardhi iliyojaa fursa USA kwa kupitia bahati na sibu ya green card maarufu kama dv lottery. Sababu kuu ya kuanzisha huu uzi ni kuku sanya mawazo maoni Na ushauri wa...
  6. Emmet

    Tanzania tunanunulia wapi/nchi gani Internet?

    Habari za mda huu waungwana, Leo nimetamani nijifunze jambo jipya! Naomba nifahamishwe Internet Service Provider (ISP) wetu ni nani na njia gani imetumika mpaka internet ikatufikia hapa nchini?
  7. Emmet

    Kwa yoyote atakae nisaidia kupata visa ya Poland nitampatia $500

    Habari za mda huu waungwana!!! Kama title inavyo jieleza hapo juu, nina shida na visa ya Poland na kwa atake nisaidia kuipata ntamlipa/nitanzawadia kiasi cha $500. Kama wewe ni travelling agent au mtu ambae unaweza kunipatia msaada wa moja kwa moja tafadhali naomba uni pm. Kama kutakua na...
Back
Top Bottom