Search results

  1. Captain22

    Hoteli ya nyota Tatu inajengwa Chato, Wana-CCM mnafurahishwa na kitendo cha kupeleka kila mradi wa ujenzi Chato?

    Mbaya zaidi, TANAPA haina mandate ya kujenga hotels. Kazi ya TANAPA ni uhifadhi na siyo biashara ya kulaza wageni.
  2. Captain22

    Mwamtumu Mahiza , Skauti Mkuu Tanzania aapishwa Ikulu Jijini Dsm

    Scout mkuu wa kuapishwa na Raisi? Ni bwebwe za kumpatia bi mzee kitu cha kuhipatia kipato
  3. Captain22

    Gym ya Mazoezi maeneo ya Kibamba Dsm

    Kibamba kubwa Sana Kaka. Wapi haswa unataka?
  4. Captain22

    Missing someone

    MshanaJr karibu capital leo
  5. Captain22

    Missing someone

    Leo nipo Leon's gardens . Pretty Kama upo karibu njooo
  6. Captain22

    Missing someone

    Mbavu, mguu, mkono au kidari aiseee jombaa
  7. Captain22

    Missing someone

    Kuja pandee hii ya karibu na DJ
  8. Captain22

    Missing someone

    Karibu Sana MshanaJr.
  9. Captain22

    Missing someone

    Serious wapi Preta please
  10. Captain22

    Missing someone

    Precision last flight imeshaodoka ningekuja mkuu
  11. Captain22

    Valambhia lawsuit

    Hapa imeshakula kwetu Tena . The law suit is back with a vengeance
  12. Captain22

    Missing someone

    Heshima wana MMU, nimewamisss Sana baadhi ya members hapa: Lara 1, Preta na miss chagga. Aliye karibu na Moshono lounge apitie counter Kuna chupa ya double black.
  13. Captain22

    Otango Osale ni nani huyu mtu?

    Kwanini watu kama hawa hatuwasomi kwenye historia ya uhuru?
  14. Captain22

    DW is a special smearing campaign to Magufuli's administration!

    Give examples of either documentary or news bulletins that suggest so
  15. Captain22

    Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

    The doctor from o'level to chuo
  16. Captain22

    Maajabu: Rais anateua Katibu wa Bunge kabla hata hajapewa majina 3 yaliyopendekezwa na Bunge kwa Mujibu wa Sheria?

    Kwhiyo wewe kila ukiuliza au kutoa hoja, umetumwa na mtu?? Ubumbuazi!!!!!
  17. Captain22

    DAR: Mbunge wa Mikumi Joseph Haule (Proffesor Jay) CHADEMA,avunjiwa nyumba yake

    Wanadhani kwa kuwabomolea wananchi nyumba zao ndiyo watapata kura 2020???? Mahakama inasiginwa waziwazi!!!!!! D/U fahamu ubungo na kibamba hutokaaa upate kura na hutukaa upate amani hata uombewe na wanyarwanda elfu
  18. Captain22

    Jeshi la Polisi litoe tamko kuhusu umilikaji holela wa vifaa vya ujasusi

    Hivi security camera ni kifaa cha kijasusi??? Vipi kuhusu motion sensors kwenye makazi nazo ni ujasusi??? Unapotumia simu yako ku record ni ujasusi????
  19. Captain22

    Moureen

    Mhhh sasa sijui Mimi ni maana grew au crew, all in all Karibu Moureen.
Back
Top Bottom